Lyrics

Umenitesa n'metosheka, Roho imezoea Ukitoka mi najua, Leo sitatulia Juu kile nafikiria, huna idea Na yale napitia, I know you know I watch you put on makeup Standing by the mirror Your vibration is familiar Yeah, it's a trigger Nakumbuka ukiweza Kunifurahia I wish you would stay But I know you moved on Nakujua tena sana Nikikuona najua kile unawaza And you know Naeza jua ukidanganya So I find it so confusing when you lie love It gets so lonely Usiku utanipata na mawazo You say you love me But najua uliniachanga kitambo Najua uliniachanga kitambo Nimezeeka, so sitakasirika Nimeona ya dunia, sitalipishia Ukitenda utatendwa Kwanza na unayempenda Binadamu akiumia, bado atarudia Nakujua tena sana Nikikuona najua kile unawaza And you know Naeza jua ukidanganya So I find it so confusing when you lie love It gets so lonely Usiku utanipata na mawazo You say you love me But najua uliniachanga kitambo Najua uliniachanga kitambo It gets so lonely Usiku utanipata na mawazo You say you love me But najua uliniachanga kitambo Najua ushaamua mi si wako
Writer(s): Mutoria Mwaura Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out