Lyrics

Dunia shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Usipigane nao Tena wala kamwe usivutane nao Toka siku za kitambo za sila na paulo Omba sana stress na vita weka kando Sisemi me sio mbaya Haja gani kujipa pressure Huku nje mnajigamba Kule nyumbani ni visanga Kukosana Kugongana Kuvutana Kutengana Kukosana Kugongana Kuvutana Kutengana Wapendana wapendana wapendana naye Wabishana wabishana wabishana naye Wapendana wapendana wapendana naye Wabishana wabishana wabishana naye Dunia shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Usipigane nao Tena wala kamwe usivutane nao Toka siku za kitambo za sila na paulo Omba sana stress na vita weka kando Kupaper loving i done tire Mawazo akilini niko on fire Moyoni nisiwe naskia vibaya Na wivu nikajipata six feet under KukosanaKugongana Kuvutana Kutengana Kukosana Kugongana Kuvutana Kutengana Mwapendana Mwapendana Mwapendana Kisha Mwabishana Mwabishana Mwabishana Mwapendana Mwapendana Mwapendana Kisa na maana mna pesa bado shida ni nyingi Dunia shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Usipigane nao Tena wala kamwe usivutane nao Toka siku za kitambo za sila na paulo Omba sana stress na vita weka kando Maisha ni shangwe na glory Panda shuka ni boring Huku Nairobi ka hauko radar utajipata kwa ngori Ju mpanda ngazi ushuka Peana ball anaruka Si at this point noma hadi mfuko inashtuka Maze ni blander Najua ni ngumu but God amepanga Toa stress Acha pressure we jibambe Piga sherehe babaa ongeze kitambi Shida ni nyingi leo naeza vuta hata bhangi Dunia shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Shida ni nyingi Kwani pesa ni nini Usipigane nao Tena wala kamwe usivutane nao Toka siku za kitambo za sila na paulo Omba sana stress na vita weka kando
Writer(s): James Oyuko Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out