Lyrics

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea Maombi uyasikie eeh Bwana unipandishe Eeh Bwana uniinue Kwa Imani nisimame Nipande milima yote Eeh Bwana unipandishe Sinatamani nikae Mahali pa Shaka kamwe Hapo wengi Wanakaa Kuendelea naomba Eeh Bwana uniinue Kwa Imani nisimame Nipande milima yote Eeh Bwana unipandishe Sinatamaa mi nikae mahali pa Shaka kamwe Hapo wengi Wanakaa kuendelea naomba Eeh Bwana uniinue Kwa Imani nisimame Nipande milima yote Eeh Bwana unipandishe
Writer(s): Peterson Githinji Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out