Lyrics

Uliyoyatenda kwangu ni mengi Shuhuda Zako hazielezeki Umefanya hili, Umefanya lile, Umenipa jina Baba ninakushukuru Uliyoyatenda kwangu ni mengi Shuhuda Zako hazielezeki Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Niseme nini, siwezi kueleza Baba ninakushukuru Umefanya mengi, siwezi kueleza Baba ninakushukuru Nikulipe nini, kwa yote Umetenda Baba ninakushukuru Nikulipe nini, kwa yote Umetenda Baba ninakushukuru Baraka Zako hazihesabiki Wema Wako hauzoeleki Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Baraka Zako hazihesabiki Wema Wako hauzoeleki Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Niseme nini, siwezi kueleza Baba ninakushukuru Niseme nini, siwezi kueleza Bali ninakushukuru Niseme nini, siwezi kueleza Bali ninakushukuru Bali ninakushukuru Bali ninakushukuru Bali ninakushukuru Bali ninakushukuru Bali ninakushukuru Baba ninakushukuru Baba ninakushukuru Baba ninakushukuru Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Baba ninakushukuru Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina Umefanya hili Umefanya lile Umefanya hili Umefanya lile Umefanya hili Umefanya lile Utafanya na lile Bado ninakuamini Umefanya hili Ulifanya lile Utafanya lile Bado ninakuamini Umefanya na hili Ulifanya lile Utafanya na lile Bado ninakuamini Matendo Yako kwangu ni mengi Shuhuda Zako hazielezeki Umefanya hili Umefanya lile Umefanya hili na lile Hukuchoka Ukafanya na lile Baraka zako hazihesabiki Wema wako hauzoeleki Umefanya lile Umefanya
Writer(s): Dr. Ipyana Kibona Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out