Lyrics

Dem yako Akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Chali yako akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Dem si mpicky hamind hata pikipiki Sipendi dem wa feeling huwa msticky Unatumanga fare na huwanga hafiki Marifiki wake wengi wanafiki Dem yako anapenda mwanamziki Avoid situation kama hizi Tricky Anasaka motivation ya kupata miti Mwenye miti beshte yako anapanga meeting Nyama ni nyama nyama inapigwa beating Hapa lawama ni kama zile za betting Alama ni moja hii ni ya duku duku Dem msupuu anageuzwa kuku A kuku's is danger Lenga akikishow anakupenda Enda dont be a simp atakutenda Dem yako Akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Chali yako akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Jana nilipatikana nikicheat ndani ya vits tena mchana mchana Mi hukutwa na si sana sana na najua nikiulizwa ni kukanakana Kasketi kamebana niko na nigger wa ghana Ndo nimewasha kitire kalikua Tu kanaivana Hangy za jana nywele sijaichana Naskia nika hii kichwa na mwili zimeachana Yoh kumedhoka kuna mtu kutokwa(who?) Chali yangu anang'ora amechezwa poker (mmh) Na jirani anajua mi niliokoka Ilibidi nikidim juu ya ile nduki nilitoka Missing kesi inaningoja naona ka inataka tizi Ama naona nijifanye nimekua chizi Aah easy baby take it easy Unanifanya dizzy na simu user busy Dem yako Akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Chali yako akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Hi ni kitu inafaa tunormalize Para nimeleta ni ya paradise Umechill na Goshodo zako zimenice Text kutoka ex Sex Jana mlirongoks Mkubwa tufanye what next Jifanye akili yako inamess Next leta makosa zake za 5 years ago Jam jifanye unaeza let go Kumbuka venye alikunyimanga remote Savage usikue na remorse Kumbuka time Alipick Nick Over you alipick Nick Ex wake walienda picnic Wallpaper Ilikua pic ya Nick Wadau Niko hapa msipanic Dem yako Akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Chali yako akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Dem yako Akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa Chali yako akipata ukicheat (cheat) Remedy ni moja jifanye umechanganyikiwa Jifanye umerogwa
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out