Lyrics

Najuta, ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa Maringo yake na mwendo vina nichosha, nachoka kabisa Kinacho nishinda-eh Nyumbani kwao wamezidia ukali Nifanye nini, ili wapate tulia nachoka kabisa Najuta, ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa Maringo yake na mwendo vina nichosha, nachoka kabisa Kinacho nishinda-eh Nyumbani kwao wamezidia ukali Nifanye nini, ili wapate tulia nachoka kabisa Najuta, ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa Maringo yake na mwendo vina nichosha, nachoka kabisa Kinacho nishinda-eh Nyumbani kwao wamezidia ukali Nifanye nini, ili wapate tulia nachoka kabisa Ooh usivunje ahadi uliyonihadi dada Poa kaka mimi ni bado msichana Tena bado sijamaliza masomo Nifanye nini kukuacha siwezie! Oooh! Nakonda-eh Nateswa-eh Nifanye nini mimi? Pole kaka kipenzi cha roho yangue Ahadi yetu haijaweza vunjika Fika nyumbani kwa wazazi wangue Ooh usivunje ahadi, uliyoniahidi dada (Poa kaka mimi ni bado msichana) (Tena bado sijamaliza masomo) (Nifanye nini kukuacha siwezie!) Oooh! Nakonda-eh Nateswa-eh Nifanye nini mimi? Wewe kaka kipenzi cha roho yangue Ahadi yetu haijaweza vunjika Fika nyumbani kwa wazazi waang' Sikia maneno! Sikia butamu! Sikia maneno! Sikia butamu! Maneno Maneno Maneno ya serengete Maneno Maneno Maneno ya serengete Sikia maneno! Sikia butamu! Sikia maneno! Sikia butamu! Maneno Maneno Maneno ya serengete Maneno Maneno Maneno ya serengete Ye, ye-ye Wo, uwo-wo! Ye, ye-ye Wo, uwo-wo! Ye, ye-ye Wo, uwo-wo! (Ai-yoo) Chukua, chukua, chukua, chukua (yote yako) Chukua, chukua, chukua, (yote yako) Chukua, chukua, chukua, (yote yako) Chukua, (Serengeti) chukua, chukua, (yote yako) Chukua, (Serengeti) chukua, chukua, (yote yako) Vigelegele ndio furaha jamani eh-eh-eeh Butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh-eh-eeh Chereko chereko na mayowe jamani (ndio furaha) eh-eh-eeh Makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea) Kutokea westeni Kwa uwingi, kwa uwingi Njoo uone (furaha) furaha Vigelegele ndio furaha jamani eh-eh-eeh Butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh-eh-eeh Chereko chereko na mayowe jamani eh-eh-eeh Makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea) Kutokea westeni Kwa uwingi, kwa uwingi Njoo uone (furaha) furaha Hehehee Sabosooo Chukua, chukua, chukua, (yote yako) Chukua, chukua, chukua, (yote yako) Chukua, chukua, chukua, (yote yako) Chukua, chukua, chukua, (yote yako) Chukua, chukua, chukua, (yote yako) Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Writer(s): Issa Ibungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out