Lyrics

Aliyepanga ni maanani, Shida na riziki zangu, Aliyezitupa gizani, Shida na taabu zangu 1. Nasimama na mola kwa kila jambo nilitendalo, Maneno ya watu bakora yalinichapa nikaumia, Lakini machozi machozi niliyolia zamani yashafutika, Japo simanzi majonzi yamejaa moyoni nikikumbuka... Nishaambiwa zamani Kinyago uchongacho hakikutishi ng'o Ndo maana nasimama na aliyepanga
Writer(s): Judith Wambura Mbibo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out