Lyrics

Aha aha we acha tu I miss you Ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa Tease on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha Pappy Kojo {?} Aha aha we acha tu I miss you Ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa Tease on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba mmh Itakuwa ngumu sana na nikawaza mmh Where you are you are far away comeback home It's not the same without you baby come back home I need you baby come back home Tease on my pillow eeh Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani Haielezeki oh I miss you Aha aha we acha tu I miss you Ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa Tease on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha Kila siku nafungua pazia asubuhi Naangalia nje njiani Nikidhani pengine siku utarudi Ili tena niwe furahani natafuta nyayo zako Narudi nijifariji karibu utarudi nyumbani Haielezeki oh I miss you Aha aha we acha tu I miss you Ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa Tease on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha
Writer(s): Judith Wambura Mbibo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out