Lyrics

Forever, forever Forever, forever Forever, forever (MLAM on the beat) Forever, forever (SoundBoy) Nilianza kusikia sauti yako, kabla sijaona sura Ikafanya nikageuka (ikafanya nikageuka) Macho yangu yakakutana na yako, oh mashallah Nikahisi malaika ameshuka Maana rangi, macho, umbo lako Likanivuta kwako, tuongee Nikakuuliza jina lako, namba yako Nd'o ulikuwa mwanzo wa mi' na wewe, uh baby 'Menifungulia dunia ya mapenzi Nimesahau mateso Nakufungulia dunia ya kukuenzi We' ni wangu leo na kesho, eh-eh Nakupenda, sikuachi We' ni wangu, I promise Nakutaka, kando yangu Sikuachi, I promise Mi' na wewe Forever, forever, forever me and you Me and you forever, baby Forever, forever (milele), forever, mi' na we Nitazikwa nawe Mtoto mbichi, teketeke aki' mama umelainika Umeumbika, acha nikumwagie sifa Waruke sarakasi na mateke, uzuri wako hawatofika (hawatofika) Mama umejazisha, mikate yakumiminisha Baby waonyeshe cheko (cheko) Wape mideko (deko) We' mzuri, filter na make-up waachie wao Na unawapa mateso (teso) Watajifunika leso Waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao, aya-iya 'Menifungulia dunia ya mapenzi Nimesahau mateso (mateso) Nakufungulia dunia ya kukuenzi We' ni wangu leo na kesho, eh-eh Nakupenda, sikuachi We' ni wangu, I promise Nakutaka, kando yangu Sikuachi, I promise Mi' na wewe Forever, forever, forever, me and you Me and you forever, baby Forever, forever (milele), forever, mi' na we Nitazikwa nawe (Kamix-Lizer)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out