Lyrics

S2kizzy baby! Ayoo Lizer Dangote baba lao (baba lao) Simba baba lao (baba lao) Chibu baba lao (baba lao) Mondi baba lao (baba lao) Eeeh Zombie baba lao (baba lao) Magufuli baba lao (baba lao) Makonda baba lao (Bbba lao) Wasafi chama lao Ngoma kwa ngoma ni kopo koko Leo ndani twakesha popo Waiter tasambazia moko moko Moja baridi, moja moto Mmechoka eti? (Aaah! Wapi) Mnataka lala? (Aaah! Wapi) Tungi limezidi? (Aaah! Wapi) Tuzime muziki? (Aaah! Wapi) Asa twende kisamugile, sambamba, hapo vipi inabamba? Inogile inatamba, basi chanika musamba Eeeh!! Wataweza kweli? (Aaah! Wapi) Kushindana nasi? (Aaah! Wapi) Hata wakiungana? (Aaah! Wapi) Matusi kututukana? (Aaah! Wapi) Dangote baba lao (baba lao) Simba baba lao (baba lao) Chibu baba lao (baba lao) Mondi baba lao (baba lao) Eeeh Zombie (baba lao) Magufuli baba lao (baba lao) Mwakyembe baba lao (baba lao) Wasafi chama lao Adi mselema, Adija Selema (Selema) Mwambie nyangema, shimo ametema (ametema) Amefosi bifu mseleleko (eeh! Tumemkwepa) Amebaki masononeko (eeh! Wanamcheka) Kwanza kunja goti (lee kunja goti) Kisha vua shati (eeh vua shati) Cheza kama monkey (aiii!) Vunja ukidanki danki Eeeh! Tumewachapa (kidude) Hakichomoki (kidude) Kimewanasa (kidude) Wanatapatapa (kidude) Chizi karogwa tena! Chizi Chizi karogwa tena eeeh! Chizi karogwa tena! Chizi Chizi karogwa tena eeeh! Chizi karogwa tena! Chizi Chizi karogwa tena eeeh! Chizi karogwa tena! Chizi Chizi karogwa tena eeeh! Dangote baba lao (baba lao) Simba baba lao (baba lao) Chibu baba lao (baba lao) Mondi baba lao (baba lao) Eeeh Zombie baba lao (baba lao) Magufuli baba lao (baba lao) Majaliwa baba lao (baba lao) Wasafi chama lao Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo) Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo) Jamani navua (acha uongo) Mama navua (acha uongo) Mwenzenu navua (acha uongo) Eeeeh! Kuna Basata Basi napiga Yope (huwezi) Ooooh! Napiga Yope (huwezi) Iyobo napiga Yope (huwezi) Mi napiga Yope (huwezi) Tale napiga Yope (huwezi) Mi napiga Yope (huwezi) Momo napiga Yope (huwezi) Fungwe napiga Yope (huwezi)
Writer(s): Chisom Ezeh, Nasibu Abdul Juma Issaack, Azeez Adeshina Fashola Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out