Music Video

Ollah (feat. Khaligraph Jones)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Christian Bella
Composer

Lyrics

– Jones Ollah Ollah Is the OG Khaligraph Jones Alongside Christian Bella For the lovers out there Ollah eh Ollah x4 {Verse One} – Bella Iyeh Iyeh Nimedata Kwa huyu Mwanamke Iyeh Kila nikilala ananijia ndotoni Ananipenda mpaka sielewi mbona Kuna nini kwani, mbona ananichanganya Akitembea anamwendo kama kinyonga eeh Mtoto mzuri kama malaika Najiuliza kipi nimefanya kupendwa na yeye Ollah eh Ollah x4 Kesho ni siku yetu ya harusi Tutafunga pingu ya maisha Tutakula kiapo kwa Mungu baba Na mbele ya dunia hatutakuja wachana Maneno ya wapambe hapa hakuna nafasi Vyumba vimekaza milango hakuna wala hata dirisha eh Na wachekwa kanzo wangu mama Waambie poleni hakuna pa kupenyeza {Verse Two} – Jones Hey I cant describe vile nahisi Pendo langu kwako ni mazishi Usijali na zao malalamishhi Ni wivu juu wanatamani kuwa sisi Bella {Verse Two} -Bella Chonga chonga Mpenzi usijeniacha kwenye mataa Nakuahidi kukupenda mpaka mwisho Mbona sifiki zote nimeshazima Kwa moyo wa maisha we ndio kila kitu changu wee Niende tena wapi kwako nimeshafika eeh Ollah eh Ollah x4 Kesho ni siku yetu ya harusi Tutafunga pingu ya maisha Tutakula kiapo kwa Mungu baba Na mbele ya dunia hatutakuja wachana Maneno ya wapambe hapa hakuna nafasi Vyumba vimekaza milango hakuna wala hata dirisha eh Na wachekwa kanzo wangu mama Waambie poleni hakuna pa kupenyeza {Verse Three} – Jones Also Read: Micasa Sucasa - Khaligraph Jones x Cashy Nakuona akili yangu inachizi Girl juu you're an angle you believe me I wanna be on your side till I die Umenifikisha juu napepea mushtaf Juu ya hewa we ndio air hostess Umenipea love crazy too Them other coulples couldnt do it the way that we do You're a queen unastahili sifa Kwa kuniserve baby mimi sina budi The shore of my dreams Ring mimi ntakuvisha juu you look like a star In a movie (say what) N I know sometime inaweza kaa kasijali Ni hali ya maboy wakitafuta mali, magari Staki unishuku na maswali Bt lengo langu ni eti uishi kifahari So I promise to be here everyday N its only to God that I pray That between us everything is gonna be okay Coz you really blow me away Ollah eh Ollah x4 Kesho ni siku yetu ya harusi Tutafunga pingu ya maisha Tutakula kiapo kwa Mungu baba Na mbele ya dunia hatutakuja wachana Maneno ya wapambe hapa hakuna nafasi Vyumba vimekaza milango hakuna wala hata dirisha eh Na wachekwa kanzo wangu mama Waambie poleni hakuna pa kupenyeza Nakuona akili yangu inachizi Girl juu you're an angle you believe me I wanna be on your side till I die Coz when I see you moyo wangu unafurahi
Writer(s): Brian Robert Ouko Omollo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out