Lyrics

Ooh my Ammy waves Stupid (wee wee wee) Utafika ila haunikuti (never never never) Utaniona ila haunigusi (no no no) Wakiipimaga wanakaa Tukipiimaga wanajaa Kwa sababu, wao ni stupid Utafika ila haunikuti Utaniona ila haunigusi Wakiipimaga wanakaa Tukipiimaga wanajaa Kwa sababu, wao ni stupid Japo nina ghetto ila naishi kwa chati Nikiamuaga kutokelezea utasema kabati Na nikifika club nnavyoshobokewa utasema mchati Naball kiwalani ila nateka bebe kutoka masaki Changanua iyo hisabati Moto ugusi (wuuu) Kagoma kwenda mbuzi (yeaah) Skia unaponiona natazama nyama ujue hapo nina mchuzi (money) Chebukati cluise Blogers wanataka news Wakinitukana nnavyojichekesha utasema napenda upuuzi Na vile walikariri njia wakihisi wananijua nawabadilikia Push michuma nabadili gia Pesa za mama sio za kuringia Fanya michezo ila usifanye mchezo na mi jumba bovu litakuangukia Tukivuta sana tunavutia, kimenuka sema tunanukia Walipanga kutuchafua na tupo saafi So kibajaji unafananisha na mwendokaasi Ukifatiliianga mambo ya kwako hatutakugasii Wakileta mikunyo huwatunawachoma na moto wa pasi Naenda kama best rapper in this town Naenda kama king cos i own this crown Naenda kama legend Naenda kama drizzy au wizzy Naweza kwendakama chris brown Nandomana naweka switch we huvai Naenda kama soo clean so fly Naenda kama kiss to the ladies wahuni wanasema Naenda kama vile mtu ambae hafai na pia Najua hunipendi ila its funny bro Mwenzako nishahama nyumbani tho Ukinionaga si unapata homa inabidi utembee na panadol Ana ana hanadoo We coming for you panya road Ndomana tulikukataa Kwa sababu we ni stupid Utafika ila haunikuti (never never never) Utaniona ila haunigusi (no no no) Wakiipimaga wanakaa Tukipiimaga wanajaa Kwa sababu, wao ni stupid Utafika ila haunikuti Utaniona ila haunigusi Wakiipimaga wanakaa Tukipiimaga wanajaa Kwa sababu, wao ni stupid Kwa sababu, hao ni stupid Out with the old man I'm back on my new shit Me nalindwa na mungu shetani hanigusi Marafiki sitaki juu wengi ni kupe Nikona ideas to mob sana Na incase hii kitu ikue boring then Pia ntainmbia tu hosanna Pia me naweza waibia ma doo bana Nimechoka kusaidia ma bro kama Asanti ya punda mateke so sioni kama Ntaingia na uko canaan Pressed i can piss on a record And i don't gotta use no effort (joones) Lunya Kuna uwezekano hawa ma nigga tuwafunge ma leso Buda If i wanna brin git be assured ni ya leo si ya kesho Judas Man i find it funny wakinidunza vile nta maneuver ghetto I'm a clapback king nobody told you ati opinion yako ina matter Comparison munamake ni bonoko me nikishaipiga tapo na ngada Paparazzi ina pararrira mingi better ukulie vako ma smarta Toka siku gani mumeona wakilinganisha passo na passat Lunya kama vipi brother mbona vijana wamejaa na gas mingi Kila track niuchora ina maana been generous kupatiana Ma collabo lakini na pass mingi Si ma nigga wengi me huwa na trustingi Only know how to keep it real actingi I dont give a fuck if you thinking na kaa stingy So mkubali m'ngore i just bring it So how we rapping is ruthless snapping in the booth And masterd this new tricks capping is useless Laugh as do, do this cassidy's blue print That's what i use when i blast on new kids Oh what really, what really happened to you kid Dreams stay valid cause they lucid Oh snap is you dumb, is you stupid stupid Think they had enough man dueces
Writer(s): Brian Ouko Omollo, Omary Ally Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out