Lyrics

Aaaah aaah! Ooooh oooh! Aaaah! Alhabib Aaaah aaah! Ooooh oooh! Oooh! Limeniathiri Penzi kwenye mtima Amenichota akili Hata moja sina Nimeshindwa kufanya siri Mwenzenu leo nasema Nampenda kweli kweli Ila simtaji jina niwaambie Penzi chori chori kalipeleka India Nikishindwa vikachori ananipa vibagia Mambo ya utoto pori sio uzungu bandia Tena tuna doridori penzi twawaringishia Mtamaliza comment za matusi huko fb Hii la liga nyie chandimu hamuwezi ligi hii Wala msijipe presha mwisho wa siku mfe kwa bp Mnao angaika kuturoga kwa sangoma muongeze bidii Hii la liga nyie chandimu hamchezi ligi hii Mlio angaika kwa sangoma kuturoga muongeze bidii Vibaya, mtazeeka vibaya Aaah! Mtazeeka vibaya Mtazeeka vibaya kufata yasiowahusu Ooooh oh! Aaaah aaah! Ooooh oh! Ananiiita honey, namuita nyonda sabuni Sio we baba fulani, majina ya kihunihuni Unipa vya kingomani, michezo ya tamaduni Na atuvifichi hadharani mtakoma nyie kunguni Aku mie, siziwezi pata shika kubanana mishikaki Kwake nimestirika siichezei bahati Mapenzi sio shirika kushare share sitaki Wangu njiwa na mfichaficha kuogopa yenu manati Siwalaumu siwalaumu chukiwa na nyie Mambo magumu maana chuma nnacho mie Penzi chori chori kalipeleka India Nikishindwa vikachori ananipa vibagia Mambo ya utoto pori sio uzungu bandia Tena tuna dori dori penzi twawaringishia Vibaya, Mtazeeka vibaya Aaah mtazeeka vibaya Mtazeeka vibaya kufata yasiowahusu Ooooh oh! Aaaah aaah! Ooooh oh! Haya malizeni vikao kumnanga shauri zenu Mi nishawapiga bao msompenda imekula kwenu Malizeni vikao kumnanga shauri zenu Mi nishawapiga bao msompenda imekula kwenu Haya kama kweli awezi kuneng'emua (Bwana kamshika vipi) Eti kama kweli awezi kuneng'emua (Bwana kamshika vipi) Hee kama kweli awezi kuneng'emua (Bwana kamshika vipi) Kama kweli hayawezi mavitu (Bwana kamshika vipi)
Writer(s): Abduli Hamisi Mtambo, D Voice Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out