Music Video

Lyrics

Ninao msiba Fundi ni yatima Kila nikondapo huwaza mengi Kisa ni cha baba na mama Baba na mama wako ahera Haikuanza sasa Ni kupungukiwa Ndugu zangu wengi kunipotea Waume kwa wake hunigura Si amri yangu ni ya mola Walizaliwa kumi Wa moja ni mimi Sita walikwenda hali ni wadogo Waume watatu na dada zao Tulibaki watatu na wanawake ni wawili Juzi haikutosha Mmoja alikwenda Sasa tulobaki hesabu sawa Wakwanza nami wamwisho tu waume Wapili kwa kuzaliwa na mdogowe ni wanawake
Writer(s): Fundi Konde Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out