Music Video

Bahati - Mama (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati
Bahati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati
Bahati
Songwriter

Lyrics

Bahati Bahati Tena Flame International Mwanabuja Wee Mi Naimbia Mama, Mi Nasifu Mama, Mama Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Nipe tu dakika Keti Chini Nikuambie Nachukua hii fursa Mama Wacha Nikuimbie Nipe tu dakika Keti Chini Nikuambie Nachukua hii fursa Na Dunia Isikie Miezi Tisa Ndani Yako Kanibeba Uchovu Na Miaka Tisa Kando Yako Ukinitoa Uovu (Mama) Miezi Tisa Ndani Yako Kanibeba Uchovu Na Miaka Tisa Kando Yako Ukinitoa Uovu Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Uuu Utovu Wa Nidhamu Ndani Yangu Ukaupiga Na Ndoto Za Utotoni Ukanipa Motisha (Mama) Utovu Wa Nidhamu Ndani Yangu Ukaupiga Na Ndoto Za Utotoni Ukanipa Motisha Mwanangu Unaweza Lolote Ukijikaza utafika popote Mwana, Unaweza Lolote Maono Mengi Ulifanya Niote Mwanangu Unaweza Lolote Ukijikaza utafika popote Mwana Unaweza Lolote Maono Mengi Ulifanya Niote Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Ulijinyima Nipate Wee, Hukutaka Nikose ee Ulijinyima Nipate Wee, Hukutaka Nikose ee Ulijinyima Nipate (Mama), Hukutaka Nikose ee Ulijinyima Nipate (Mama), Hukutaka Nikose Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana End Iiii Mama, Nakupenda Mama Asante Mama RIP Love Yah!!
Writer(s): Harold Barlow, Cesare Bixio, Bixio Cherubini Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out