Music Video

Elani - Hapo Zamani [@elanimuziki] [SKIZA 7630597] SMS to 811
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Elani
Elani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elani
Elani
Songwriter
Bryan Chweya
Bryan Chweya
Songwriter
Maureen Kunga
Maureen Kunga
Songwriter
Wanyoike Kimani
Wanyoike Kimani
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kevin Macharia
Kevin Macharia
Producer

Lyrics

Rauka jamaa kumekucha Miaka kumi na sita kidato cha Kwanza Pokea salaam siku mpya Insider za Kwanza zasifiwa boma N'kaipokea tetesi Moja shuleni wikendi Barua uliyoituma nimeshasoma na Sijaweza kupumua Moyo wangu waridhika Sijaweza kupumua. Hapo zamani kajua ningekuoa Hapo zamani ukiambiwa Unapendwa.waamini Ukipendwa una imani. Nilikuwaza sana michana kutwa Wewe sukuma mimi ugali wishwa Na tulipendana kinyama N'kaipokea tetesi kuna mwengine Akula mishikaki aishi kifahari Mi sikuweza kupumua Moyo wangu ukavunjika Sikuweza kupumua. Sikujua miaka kumi na sita siyo miaka Ya kuelewa dunia Sikujua miaka kumi na sita Siyo miaka ya kuelewa mahaba. Moyo... moyo.
Writer(s): Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga, Wambui Ngugi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out