Lyrics

Nainua macho yangu Nitazame mbinguni Moyo Wangu unasema niwe Mungu wangu Kilindi cha moyo Wangu kimefurika neno lako Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Kwenye kiti cha rehema, kumejawa utukufu wako Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Kileleni pa msalaba, kumeandikwa jina lako Simba wa wayahudi ndiwe Mungu waangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu. Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu. Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Wingu la uwepo wako, limeshuka kwa watu wako Utukufu una wewe ewe Mungu wangu Nguvu zilizo shinda kaburi Zionekane kwa watu wako. Nani kama wewe ewe Mungu wangu Makovu na misumari yatangaza utukufu wako Baba Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Taji ya miba na misumari Yatangaza uwezo wako Mfalme wa wafalme ndiwe Mungu wangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Siku ya msiba wangu Nitalitaja jina lako Bwana wa Mabwana ndiwe Mungu wangu Sitanyamaza mchana sitakaa kimya usiku Wacha nikusifu ewe Mungu wangu Nguvu na uweza wako ziko mikononi mwako Nani kama wewe ewe Mungu wangu Ulipewa jina jipya lipitalo majina yote Bwana wa mabwana ewe Mungu wangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out