Hudební video

Hudební video

Kredity

PERFORMING ARTISTS
ANISET BUTATI
ANISET BUTATI
Performer
COMPOSITION & LYRICS
ANISET BUTATI
ANISET BUTATI
Songwriter
Zakaria Kayanda
Zakaria Kayanda
Songwriter

Texty

Alilopanga mungu litatimia
Kwenye maisha yako litatimia
Alilo panga mungu litatimia
Kwenye maisha yako litatimia
Mazingira unayopitia yasikupe shida
Na maneno wanayoyasema juu yakoo
Navita vikali wanavyokupiga
Haviwezi zuia mpango wa mungu kwako
Piga hatua songa wala usiwaze
Maana jichola mungu linakutazama
Na mkono wa mungu uko juu yako
Kwake yote yanawezekana
Wakiziba kwa chini utapita juu yao
Wakiziba kwa moto utapita kama maji
Akikubeba yesu hakuna mashaka
Kwake yote yanawezekana
Alilo panga mungu litatimia
Kwenye maisha yako litatimia
Alilo panga mungu litatimia
Kwenye maisha yako litatimia
Mbegu ikipandwa aridhini
Nilazima ioze ili iote
Na ujue dhahabu safi
Ni ile iliyopita kwenye moto hee
Katikati ya tabu zako shida zako nauona ushindi
Hoo utavuka wewe tena utashinda
Na utasimlia wema wa mungu maishani mwako
Na utasimlia matendo ya mungu maishani mwako
Mungu siyo mwanadam aseme uongo
Mungu siyo mwanadam hata ajute
Mungu siyo mwanadam hata adanganye
Ameahdi ushindi ni lazima ushinde
Alilo panga mungu litatimia
Kwenye maisha yako litatimia,
Alilo lipanga mungu litatimia
Kwenye maisha yako litatimia
Chukua hatua kumuamini
Natumaini lako kwa mungu liweke
Aki kubeba yesu hakuna mashaka
Kwake yote yana wezekana
Chukua hatua ku muamini
Natumaini lako kwa mungu liweke
Mpango mpango wa mungu
Ukimuamini yanawezekana
Alilo panga mungu litatia
Kwenye maisha yako litatimia
Alilo panga mungu litatimia
Kwenye maisha yako litatimia
Written by: ANISET BUTATI, Zakaria Kayanda
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...