Texty

Yeah Switch Y U L E B O Y S2Kizzy Baby I gatchu Ah, naifanya game navyotaka Hatukalishi tunalaza Hivi we una pumzi brother Ushapataga mamikwanja kibao Kupata moja ndo unawaza mandoja Inakuaje mwana hatupatani Domo kaya kaiwasha nani Kimenuka pande zote mzee Sio hapa mpaka nchi za jirani Mana harufu haijulikani I smell mmhff mmhff money money Kama sio mimi K dad We unadhani angeweza nani? Zile bang bang au boom pack Nazimurder murder anytime like eeeh Natamani ningekupa kichwa changu Ila akili yako haijabalehe Nishakua mtu mzima staki mambo ya beef wache watoto waendelee Hizi level hawatuwezi si masoldjier Knock knock mpaka ulegee Kuna funny story I got It does'nt mean to offend nobody Si kuna kadem kalitaka penzi Na kakanihonga na forget Sijui kaliniona cheap Au kalinidharau Ila najua alichokipata Hawezi kuja kusahau Maninja huwaga hatuongeiongei Mikausho mikali kibubu Ukiona mademu wanadangadanga Ujue wana damu ya dudu eeh Middle finger iende kwa wambea Wote wanaotaka mi nitubu Bado sana mtaniskia sana Na nazidi leta mavurugu Rooftop you know what I mean Yani level zetu ziko juu juu Yani level ziko juu juu eeh Kaa mbali we zuzu eeh Tell me what you see When you look at me aah Tell me what you see When you look at me aah Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Ukinicheki unacheki nini Nikikucheki nacheki ni chuki tu Cheza chini au utachapwa chupa Juu ukichoma picha na hatuchezi dude Jebu kati akichora vaku Tutamkuta kwake tumuache kiwete Muchanganya chocha ka sukari kwa chai na chanda chema sikivishi pete Niite Kikwete wa kuchanachana Na ndo sana sana mi huwajaza wivu Nipo kidete kufanya drama Na shughuli za mchana mi huzifanya usiku Simba wa Yuda amefika mjini So we fala unaweza nambia nini Unataka kuona kama niko chini Basi samaki atarudi nyuma lini Hii hustle naitunza utadhani dini Itaninunulia nyumba na lamborghini Ila wataka kuona mimi masikini Ila wataka kuona mimi masikini Wanaconfuse confidence na ego In my country nini au guess Some even think that am evil Juzi nkatumia jeneza kwa show wakadai hiyo move ni illegal But forever I rebel and know that I do I do it for my people Wanaona haya tupo on fire All the glory I give to Messiah Wanaona haya tupo on fire Na hakuna siku mi nitaretire Tell me what you see When you look at me aah Tell me what you see When you look at me aah Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Tell me what you see (wanaona haya) Hahaaa Yeaaah S2Kizzy Wassup ma nigga I told ya (wanaona haya hao) It is what it is ma nigga Am tellin ya (wanaona haya hao) Yule Boy Gaddaffi Too real safi Yeah Toja waddup Daddy Yoo
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Ibrahim Ayoub Mandingo, Brian Robert Ouko Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out