Texty

Yeah We ni we msosi mfano chips na maini Ila mbishi kama nini Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini Unawekwa kwenye list ya maiti Sheikh Unakuja bila tarehe Unagusa busha wazee Unanyukwa utadhani mfungwa unasuswa Kama unanuka unakufa kabla ya balehe Sanaa ya uchanaji hauijui Bunduki za maji haziui Sa' si bora ungemsema hata kigogo Utalala pema maan sina wema hata kidogo Yeah unanitolea kibesi Upande huu haufui maana haujauzoea fresh Huwezi andikiwa wimbo ili ukabattle Sa sijui niku -diss we au nimdiss aliyekucholea Verse Sheikh Superstar je nalipa unauza Una mdinga una nyumba Unavimba maana umeanza kupita na wachumba Swali lini utaanza kuwalipa maproducer Yoh hauna facts you just lie things Unajibu disses kwenye side feeds Sijui round pound high speed flying kicks Flow ni moja tu vipi nikuue nikiwa na style nyingi So jitahidi uwe unapanga hoja At least weka wazo zima kwenye Stanza moja Ukiwa unarukaruka kama paka mgonjwa Una mzuka unasingizia ni flows unakaanga soda Hauna mastanza Ndo' nilivyo tabiri Umejazwa upumbavu na unajua Kwahiyo mwepesi kama goli la kwanza Ama table ya pili Au darasa la tatu So nakuua Unaji-contradict sana Unanitukana wakati unajitukana Tuliacha kuattack majibu tuna-battle njia Unamtukana dada 'angu ambaye ni dada'ako pia Na unadada pia anapakatwa na anasaula Tunamjua adi jina anaitwa Paula Lugha ni ukumbi hauumiliki So we sio Mshairi mzuri hauambiliki Mcee nimeshiba vina ni mikosi Mstari wa mbele kama pina That's too predictable Nabaki nje ya box nishaidivorce dini Wenzio Wanachukua mashost wakini-quote mimi Fix your vocabularies you can read more A good poet is the master of all big words Hata uishi juu ya kilele the entire system Ntabaki mwenye info elephantiasis Talk about story telling look at damn halo Sequel zako nyepesi you're not ready bado Your story extensions man are scary narrow Your plot twist your point of view all very shallow I'm a better artist than your whole label And I took story telling to the new level You can't match my skill you can bow down and kiss ring My storylines man are too stable Pruu mpaka maka haunikuti Kiakili we mpuuzipuuzi unapatia vyema Hizo baka baka pussy pussy Nilizitabiri kama kuchi kuchi bado ukarudia tena Unalowesha flow bado tetenus So umetaka nikutese now jiweke fasi Nikupenge makamasi ujitenge nasi Ujichenge maana unaleta usengenyaji Kabla ya kuja tunaposettle manguri Ongeza kazi ongeza kanda mseto sampuri Afu kesho acha mapuri yanafanya uhisi umekua Na bado haujapiga nyeto vizuri Mara umeni-introduce mara naokoteza promo Na we ndio ulianza kunitaja uliteleza domo Habari zimezagaa watu wananiona shujaa Sasa ningetaka ustaa si ningecheza Porno Unabuni weakness za oponents wako Unazi-adress na unahisi control battle Wakati label imekubeba unasinzia rodi Kama mwali upo ndani na unalipiwa kodi Who told you to come aboard? over Mission compromise abort, over Corporal you not alone and you don't grow, over Go Master your bets cause you don't flow proper Kitambo tulidili na ma yo yo Wanaoficha ubovu wa mashairi kwenye flow flow Mistari ukianza kuchambua unaficha sura Flow wapi we' unaweza kuflow kumshinda Nura So "Ama" rack him him giving him a Big L Watch him die by my side while enjoying the big sale Nilisema nikimbattle mtu namtaja jina Sikukubattle nilikuelimisha sasa nakutaja Rapcha Watu hawaigusi hii medulla Sifanani na vikundi vya ma-regular Hatujashindwa ni maamuzi tunavyo-operate We unaenda mainstream tunaenda cooperate Kuwa na kikomo joh, basi ukikosa kazi no Don't slap asses that's homo bro Labda haujui somo kuongelea ass ya mwanaume mwingine Kwenye track that's not normal Juzi juzi tu ulikuwa mtoto pori Leo unaita wachumba inbox mpige story Wachumba wanashangaa huyu jamaa mbona mbwiga Followers kadhaa ameanza kujiona Bieber Busy na mchongo unavyotext mashori Ambao wanandoto ya kufanya mapenzi na Mondi Mnaandaa verse wawili and still not enough Now I'm taking y'all to the space Nigga buckle up Marapa wanapublish mashpapi wao Na wanapo-push ni makapi now Hawako properly prepared kwa mi' papa lao Papa Duvee mi ni Punchline powerhouse Nakata wings si ulitaka upae Kumbuka Ibrahim alimtoa sadaka mwanae Mungu akamkataza, Namwambia Mungu this is personal And this is not half of what i have in my Arsenal Roho nyeusi umeishona so, purify Hata ukikoroma bado you still a cutie pie mwah Nenda forth and back kama ping pong SPECIES zenu haziwezi ORDER CLASS kwenye hii KINGDOM Umeanza kugonga gonga nyagi unaona umekua Unapiga nyonya myonya bangi kunyonga hujajua Upo juu ya jukwaa unalilia tuzo Mi bado niko underground nashkilia nguzo Mnafanya wasanii tuanze kuboa meza Mamaako angetaka abortion ningetoa pesa Tushatega money before hatucheleweshi We gangster kesho bishoo hauleweki Like i buy burdens Hofu yangu ni Kwamba now I'm turning into a bad person Nakushangaa unajiona star man you not really Shave clean your dreads are whack and you're not Pretty I Brought it home like I'm Gordon Banks so i'm still a don This is God's hand Peter Shilton Control padi huwezi kucontrol battle Kisha kadagi mbele na mayoyo wenzako We ni ka Wale wanaharakati wenye hasira kama Pitbull Nyuma ya keyboard wanatweet tu click click YeahWatch as I do my thang I was gone but now I'm back like boomerang God you are so young this is felony I apologize I fall on my knees Hata yaimbe makerubi na maserafi I'm already twice the mc he'll ever be Ndula za kichina nzuri hi Jackie chan Pesa ukiiletea kiburi haipatikani Unavyopuliza mapuri unajivika vipuri Una sifa kama Dully minus money Naskia unataka utoke sahau Loga kwa waganga hauchukui kombe nyang'au Kama mbovu ni mbovu tu hata uhonge wadau Kakae kule kwa kina whozu, na kina bonge la nyau Man in a city look at my Pep talk Doing the impossible job killing a dead horse Roho mbaya like a I'm a coke Miner I'm a dope Rhymer Say hi to your Ghostwriter Sina sponsors kwahiyo sitishiwi kofi Sichaguliwi Hobby Silipiwi kodi Nitakushusha kama torrent Kiwazenze Mkono huu jichagulie dole chimakeke Mi ni shenzi wewe nyoko mbili Hakuna bidhaa yoyote kuni-match kwenye soko hili Hakuna copy nyingine hata copy mbaya Ntakupoteza ubakie story kama Konki Faya Tulishaflow tukafit puzzles jigsaw So Kama bado haijavunjiaka hatufix bro Kuwa na swag na kuwa whack kuna fine line Calm down hujawa hata mfalme shy town I cock my gun Rapper slay aje 1 2 turns unazo days chache Unapontekenya chui, utapotea kama ndui Serikali haikujui U don't pay taxes Oh My God man I hate rappers Oh My God Inani-drain afya Kwanini usiimbe tu Trap uka-change anga Siwezi ku-share maujanja na hawa Trained Actors N'shaona Vishungi Wamechoka mikazo Naona Mabundi wanasoma mitajo Sikurupuki maana ujuzi umekubuhu mapimbi hawaruki Ufundi Kama konda lusajo Niko na Wahuni wanatokwa na jasho kuchonga vinyago Na ususi wa kuchosha vinabo Niko na watunzi wanaofoka milazo, hawajachoka kuhustle Kama haiuzi kosa ni lako Si umeni-introduce haya ni-post basi Na Ubishoo wote unaitwa Cosmas Haujui Cross Multiplication Bodmas Na ukileta uledger ledger naku-post twice Naacha prints kwenye daftari document Nembo ya jiji mfano wa askari monument Shida zikileta Ngori mi sishake Na napiga story utadhania Okot P'bitek Leo wananiita Bar builder Level 5 sorcerer kutoka far future Mara Alien Illuminati nakaa nyumba Area 51 666 au Bermuda Nina kiatu hawezi akavaa njuka Hasa Unayefanya rap sababu ya njaa ya fuba Tofauti yetu ni kwamba sanaa yangu kubwa Heavy element iliyozaliwa baada ya star kufa Chukua leso ukiona utuli na majasho Elewa kuwa tupo vizuri kwenye haso Kwahiyo unaponiletea kiburi na minato Nitakusimamishia shughuli ka sabato Ipo habari ya wakubwa wa kitaa flani Mistari kama nimetafuna daftari Usipokuja na guard na miradi ilimradi Jumla nitaigawa kwa idadi uwe wastani Nani apagawe na hizo cool trends? is not for me Because now i have new friend us called money Born in wrong era so 'ama' chill with my cool aid Si-deal na huyu new age he's so not funny Thamani ya hii sanaa ni dili ya minoti Milioni siri ya utajiri wa hawa mibosi Naweza fanya uone una experience msosi Baada ya njaa kali mi ni Shakespearian ghost broh Ona unatoa machozi na jasho Kwa Maana vigezo ni vingi vyote ninanvyo Na sasa nina maujanja yaliyohodhi kiwango hakopi kinabo Wenzio hawaniombi kolabo ni laana Huyu jamaa amepinda anahitaji Cardio Tatizo sipigagi pasi mitandio Nina shehena imeshiba sitaki salio Ni vile tu nimechagua heshima ka rastafali yoh Nani atasettle kwa hii scenario Nani ana kadi ya mchezo na mi ndo champion Sibembelezi warembo mi sio mario Ukiendekeza miskendo sina ufagio Juju na njugu za sungusungu haziwe pair Hii fensi ni ngumu ndugu hauwezi kwea Van ghor nawapa kizunguzungu nikishade layers Hatupo sawa mi ni nungunungu we ni teddy bear Ogopa ma-pythagoras ma schrodinger Ma documentary flani kwenye monitor No one is insane enough to battle me I'm so scary I'll wear my own mask for halloween Uncastrated stallion And I keep it culture like I'm italian D ni legendary kama home alone camp ama savio One time for the motherfucker champion Deals za ku-rectify schedule Hata tukishiba tunaiweka hai mbegu Usinipime kwa tuzo niko certified kwetu Mtaani niko verified so I'm very fine thank you
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out