Kredity
PERFORMING ARTISTS
Passo Music
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mrisho Lisso
Songwriter
Texty
Ukorofi na vurugu
Nami bado nan’gan’gania
Wangu udhohofi na kutubu
Na virago ukanifungia
Ye ni baniani hata avae kilemba
Na ali kiri hajawahi nipenda
Buriani nali kinga tenga
Narudisha kalenda
Licha kutubu kuyan’goa magugu
Nafosi jua kuandama
Unani sulubu pasipo na sababu
Moyo wenyewe waangama
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Tafadhali nijali kila hali
Ukanikatili vikali nihurumie
Na unajua nitapata tabu
Nikose jawabu
Iwe moja au mbili haikai
Sawa si hutaki thawabu
Naimba taarabu
Jenga hoja
Eti mgai gai
Kwako sawa mi nadhalilika
Haki mwenzangu we mkono wa birika
Acha nibaki ka bubu bubu bubu bubu
Licha kutubu kuyan’goa magugu
Nafosi jua kuandana
Unani sulubu pasipo na sababu
Moyo wenyewe waangama
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Haaaa aaaa haaa haaaaa
Tafadhali nijali kila hali
Ukanikatili vikali nihurumie
Written by: Mrisho Lisso

