Kredity
PERFORMING ARTISTS
Passo Music
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mrisho Lisso
Songwriter
Texty
Eti nifunike kombe
Mwana haramu apite hilo sita liweza
Kiti nikonde
Shetani anenepe kunitokomeza
Chonde chonde
Kwa maneno mazuri nilimbembeleza
Napiga lizombe
Kumbe mwenzangu taarabu ndo anacheza mmh
Sawa ni hiari kupenda
Basi fanya huruma nami binadamu mwenzio mh
Mbona unabomoa nilipo jenga
Unanirudisha nyuma kila siku kilio ah
Nisikudanganye nakuwaza aaah
Ipo siku watanizika
Kwenye kopa ume weka shupaza aaah
Sijui imekuaje uka badilika
Nimeachwa tena
Nimeachwa tena
Nimeachwa tena
Nimeachwa tena
Mmmh aaaahhh
Mmmh aaaahhh
Sawa nime muona mtu wako
Ndio nimeamini mimi sio type yako
Ni block basi nashindwa futa namba zako
Sijui kwanini unanitesa mwenzako
Nasikia munataka mzae
Eti umlelee wanae
Mapenzi ni toka nikae
Mi sijatoka na wamepita nae oh la la la
Nisikudanganye nakuwaza aaah
Ipo siku watanizika
Kwenye kopa ume weka shupaza aaah
Sijui imekuaje uka badilika
Nimeachwa tena
Nimeachwa tena
Nimeachwa tena
Nimeachwa tena
Mocco genius
Mpaka kiitike
Written by: Mrisho Lisso