Kredity

PERFORMING ARTISTS
Lomodo
Lomodo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Liberatus Zeno Yeronimo
Liberatus Zeno Yeronimo
Songwriter

Texty

Iyeee mmmh mh mmhh
Nimejipara mpaka basi
Unazingua unazingua
Vile hautaki
Unaboa unaboa
Eeh! Nataka nikuonyeshe utundu
Nikupe zile pozi za kizungu
Ama katuni za kipepe na rungu
Kuchukua vitu chini ya uvungu
Nikubali nikupe raha za dunia
Naimani haujawahi kupewa
Nina mahaba tele nimejaza gunia
Nikikupata wewe nikama ngekewa
Yani kwa juu kwa juu kwa juu
Ukishuka chini mimi naenda juu
Yani katu katu katuu!
Hauzimi moto huu sio wa kifuu
Iyooo!! Nikuchezeshe bilinge bayoyoo
Nikurushe unavyotaka
Katika tikisa wowowoo
Aanh!! Niruke tikitaka
Chorus
Yani bila hata make up
Unabamba
Kati kasi ah! Yani sura na hiyo shepu
Unabamba
Wewe ushaniroga umeniweka kwenye kikapu
Unabamba
Ayeee! ah! Yani sijielewi akili fyatu
Unabamba
Verse
Why you want talking toomuch
Navile unajua nakupenda mpaka basi
Aah ah! Kwenye mipango weka vitendo
Usiloweshe kwenye kwenye mvua karatasi
Babe nipe kachili saga
Saga
Kama anataga
Taga
Chekecha maji kumwaga
Mwaga
Madaga yote mbwaga
Bwaga
Yani kwa juu kwa juu kwa juu
Ukishuka chini mimi naenda juu
Yani katu katu katuu!
Hauzimi moto huu sio wa kifuu
Iyooo!! Nikuchezeshe bilinge bayoyoo
Nikurushe unavyotaka
Katika tikisa wowowoo
Aanh!! Niruke tikitaka
Chorus
Yani bila hata make up
Unabamba
Kati kasi ah! Yani sura na hiyo shepu
Unabamba
Wewe ushaniroga umeniweka kwenye kikapu
Unabamba
Ayeee! ah! Yani sijielewi akili fyatu
Unabamba
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...