Songtexte

Piga picha piga picha piga picha Smile for the camera Piga picha piga picha piga picha Pose for the camera Foto moto, inaleta ndoto moto Foto motooo, moto to Foto moto, inaleta ndoto moto Foto motooo, moto to Alejandro, Noti Si unajuwa we ni ndoto Nikicheki hizi photo zako Zinanipea mandoto Mtoto Noti umenichanganya Naota usiku ukinifanyaga, fanyanga Yea ukinikanyaga Utanipenda kama boil ama karanga Sinyor, Alejandro You have a visitor, its Noti Flow Amekam bila ngotha na nyong'inyo Nimekam bila ngotha na nyong'inyo Basi sawa tugandane Tuumizane tufinyane Niko na first aid kit iko na funnel Moods zangu ziko KBC Channel Foto moto, inaleta ndoto moto Foto motooo, moto to Foto moto, inaleta ndoto moto Foto motooo, moto to Pata verified account Utapata more likes without a doubt Watasema uko after fame hiyo si clout Arimis is your best friend saa ya drought Kuja leta fom niko na mandom Kejani niko solo Kuja leta fom niko na mandom Kejani niko solo, nanukia cologne Noti the Flow umekuja kutaka Chief Inspector umekuja kuchapa Karantin karantine Kondiko zimeisha hadi kwa canteen Unajuwa Akothee Niko na picha zake akipigwa ndolee Tuache aibu za kudinyana kwa choche Busta Rhymes alipatikana Oyole Foto moto, inaleta ndoto moto Foto motooo, moto to Foto moto, inaleta ndoto moto Foto motooo, moto to Piga picha piga picha piga picha Smile for the camera Piga picha piga picha piga picha Pose for the camera
Writer(s): Merrick Owino Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out