Songtexte

(Afrvka) Yeah, reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga Mi huzoza mamzinga Zile kali kali kama machozi za simba Mnabonga mtanishika shati kwa keja ya mabati, mmejificha wapi? Mi huwanga na dinga Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa Huezi nitishia life, mi nilikuwa nadoz street na patipati nyi mkivishwa nappy Mi ni Rong Rende boy, machachari Say it to my face, una-beef kina nani? Oh my gosh, samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani Hizi side, miracle hazifanyikagi Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani Rap game haitaki chali Na usishangae mbona, juu ni mi nimei-marry Lay down flat, stay on your lane, in case haujajua utapepetwa Serial killers, hatu-fightingi terror, in short, tume-upgrade weapon Fake-ass niggas, back-biting haters, kazi ni ku-update status Wivu juu ni si paper chasers, kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre Mi sichezi wazeiya, mi ukini-cross utagenya Kuna dem anashinda akiteta, akikuja asipate mbogi kwa keja Fine gyal lakini huwezi sema, pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya Mayengs hunipenda, shori ndeng'a anataka kuchukua selfie tena Sisi zetu ni hustle, acha tukuwachie we king castle Managerr alirudishwa home juu promoter alidai ku-meet Dosh in person Niko kuber na mandom, eh, pale Instagram, I wrote this caption Munga, mi hutembea na ma-chrome Ata nisipo-act utavuliwa na Kovu vihasho Siendi, siendi, waambie watafute plan B Ndio nikuje watume kwa paybill, nyi ma-promoter siwapendi Shughuli kubwa huku spending, hakuna kitu fupi kaa wikendi Ongea bas, what you can't be, appearance, 10 Gs Nikizoza hawapendi, hii ni ya Gikomba na ni Fendi Huku ni kubaya, nimeona mengi Mpaka mandugu malaya, washenzi I never knew they will play me Namaanisha kwa radio na telly (Ay) Revenue looking crazy, nitakodesha ka-Benzo na Bentley You talk much, hautendi, youth fund iko pending You fuck niggas just can't be serious, bullshit's trending (Ay) These old niggas can't bear me, these new niggas ain't family (uh) These old niggas can't bear me, these new niggas ain't family Nakuwanga raw, on the low but naeza burn na boy Kidogo nikang'e mbang'a, woi Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy Obe babe (Yeah) Obe babe si kidogo ni more Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali, mi mkali niko ndani Ndani Kamali nafika bei, bila chali, nafika bei till Diani Mtoto fulani, bei kali, lakini rhyme flow fiti ka Yeezy How many times I'mma tell you this? I need a nigga like Kanyari He making that money, he making a mummy go low ka chasing da culo Feeling da lingo, feeling da brew huh The brewery, Bella Rosa Cheki manzi bila ring, jegi fiti bila fake, wanadai kuni-feel Obe baba hii ni real, obe baba hii na-kill, aki ya nani na-kill If ulionanga kwa misitu, panda miti bila kitu (Ay) Listen, ati ma-slay ndio ni wale wa obe baba, bado mimi ndio ule washika hiyo ladha Taste fiti kama lager, haga seti kama ladha, fika hiyo bei Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
Writer(s): Alex Kimani, Unknown Unknown Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out