Songtexte

Si dis your herb rasta We a smoke it anywhere yeah you mi know Asi mi a try legalize it na global status Call me a world citizen so me a smoke the world over So me a make sure Wakadinali, mi nuh tell dem wagwan Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho Ati, nakucop nakusort nakufold nakuroll nakusmoke unanichoke Bado nakutop High school nkiwa broke nakubroke siku za drought nakudrop We ni plant we ni crop, why stop? Nakupass nakureceive, nakusieve nakusieve nitoe seeds Na your siz ni macigs naeza mix iwe biz Nilikusprinklia molly, ukacheza kama wewe ukanipatia Maureen Nikiwa na rende unatulizanga ngori Mungu akulinde usishikwe kwa hio lorry Unalight mood time tunafeel boring With the right coop ndani ya chai ama coffee Nakukula ocha ama Nai nikishikwa na wewe manze cop anasmile Siwezi kukupata shop nikidai, na msee hukuleta ye hupoteza time Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho Yoh yoh yoh yoh yoh Una manickname leo wacha nikuite mamuu Sipendi system kwanza vile inakufanya Uko na sistren ye huitwa Mariamu Sinanga dishken ju sipendi kuhanya Lack of funds ilibidi nimekupanda Ju hata namba ya pedi nikipiga haipatikani kwa sasa Nafaa meds every time nakuramba Umepitia many hands ndio tu uwekwe kwa siasa Nikismoke mi hubehave mi si crackhead PDA hadi kwa bukla na iwake Small neck big ass we si mchache Ikifika point unazimisha hadi wazae Wanashindwa nilikufind aje, ni aroma bro yangu akikusmoke daily, uh Matumizi yako hata usitaje, hakuna haja ya kublow your own trumpet, uh Nikiwa na wewe siwezi kuwa caught lackin' Na ni ju yako mi hupatia karao something Wameshindwa nilikufind aje, ni aroma bro yangu akikusmoke daily, yoh! Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho Shash leader, need me a doctor Stress reliever, pass me da Vida Loca Eva, you hear that, iva na Pale kando drink ni Asparlina Beast hood walinisifu YouTube Zile ngoma big tune sababu nko mavitu Hadi mbeibe know she come second Sababu mariwanna ndio fragrance Munga mi hujuanga kusafisha, utamu wa ngunga ni kukiwakisha Kuna mapedi chunga utatoanishwa Vile utamu wa tuktuk ni kurushwa rushwa Sare uwaganis, vela tu ndio catalyst Ha, ha zile za kiherbalist 420, hio masaa tu ndio best Ni kuvuva marima Embakasi West Tangu niwe mono zile kladi bigi big Attire nono nono sif Riggy G Cheki CV yet, am the kushde Bill Gate Nazizoza ni ka it's my birthday date Kila checkpoint "Sundwa huku", police dem a search you de miss you Birthday date kila checkpoint "Sundwa huku" Police dem a search you de miss you Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Writer(s): Churchill Mandela Oganga, David John Munga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out