Songtexte

Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima (Nakusifu) Whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe (Nakusifu) Nikikanyaga kanyaga chini non-stop Shetani akemewe (nakusifu) Juu hii mboka imejipa ina ni nice nikijua for my freedom That you had to pay the price So ukiona nimechizi nikisifu usishangae Usishangae kuniona na upako Na ukitaka mpe maisha yako Na si utani ndio upate thamani Usiwache shetani aku-kalie chapo (yeah) We ndio hujua ma hali huniweka Sitishiwi na mali ama pesa Ju, ya dunia ni ya kupita Ipo siku mbinguni nitafika Kanfanya msafi dhambi ukanfuta Siwezi kukupay for all this grace (facts) Maisha yangu we ndio controller Haijalishi nini me naface Sa mi ni mali ju yako wee Omera tuliwacha ku sandoree So tumsifu bwanaa Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima (Nakusifu) Tena kila siku wee ndio kila kitu (Nakusifu) Tena kila saa vile inafaa Juu vile inafaa nataka nisifu (nakusifu) Daily naona mkono wako yeah We ndio unafungua milango yeah Bado unatenda maajabu, amen Siezi ata count time nimefikiria najua ukanishow wee ndio bado bazeng Kaa niko down, au niko juu Haina issue najua vile hii story ina end Twende na plan yako juu yangu ni kufuata penye unaongoza my friend Yake ndio crown, hizi zingine hazinanga Uzitombele ya elohim Naona mablessing, naona mapenzi Amazing grace ni sound track ya play ya maisha ya mine Naanzanga days na prayer na smile na peace of mine Daily naona mkono wako We ndio unafungua milango Bado unatenda maajabu, amen Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima Sifu bwana, sifu bwana daima Moyo wangu sifu bwana daima (Nakusifu) Whether rich ama poor ju najua utacheza kama wewe (Nakusifu) Nikikanyaga kanyaga chini non-stop Shetani akemewe (nakusifu) Juu hii mboka imejipa ina ni nice nikijua for my freedom That you had to pay the price So ukiona nimechizi nikisifu usishangae
Writer(s): Vincent Odiwuor Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out