Top-Songs von Rayvanny
Ähnliche Songs
Credits
Songtexte
[Verse 1]
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
[Verse 2]
Rangi ya chungwa mama chocolate viuno tanga Manzabay (Manzabay)
Lakipit alo simama una nywele shombe shombe Zanzibari chei chei (Ah chei chei)
Umejaliwa nyama na huo mguu aki ya Mungu hakosei
Mpaka nikuoe ndo ntafanya usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei
Najionea wivu
Kukupata we my boo
Tabibu dozi nipe taratibu
[Verse 3]
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama unavyoringa sasa sio shida zako hizo
Uh! (Yelele) ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! (Yelele) ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Ata ukilia mzuri ni mzuri tu
[Verse 4]
Una sura ya kunywea wine
Sura ya kunywea chai
Uko soft una shine
Camera haikukatai
Unawakomesha Shwine
Level zako hawakai
Wataiweza wapi rangi yako ya mtume
Kwa ocean za mapaipai
[Verse 5]
Mmh wewe mtoto we, wewe mtoto we
Wasije koroga wenzako
Wapunguzie dose utawaua
Sio kwa uzuri huo uo-uo-uo
Wewe mtoto we, wewe mtoto we
Unawatesa wenzako
Sio kwa hayo mapose nakujishauwa
Una dama ya nguo uo-uo-uo
Mama unaogopa nini mbona unaficha sura
Mama unaogopa nini mbona unageuka nyuma
Mama mbona mikono usoni hebu toa tukwone
[Verse 6]
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama unavyoringa sasa sio shida zako hizo
Uh! (Yelele) ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! (Yelele) ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Ata ukilia mzuri ni mzuri tu
[Verse 7]
Ule kimini chuna tototo unafanya nishindwe ku to to talk
Umetakata uko sososo unawatesa tiki tototok
Mara upo nyonyo nipo titi ata Saraphina anajua hushikiki
Eh! Serious nimempenda nasema na simuachi aaah!