Songtexte

Navutishwa, oh, navutishwa Moshi pia napuliziwa Navutishwa, oh, navutishwa Naishi kama paka, nalishwa Navutishwa, oh, navutishwa Haya mapenzi sijalipishwa Navutishwa, oh, navutishwa mama Navutishwa, oh, navutishwa mama Msosi delivery Pombe chemikali Mapenzi halali Ilikuwanga silali hapo awali Kanairo hakuna amani Her coochie on fire, can't deny Miguu zake hunizunguka kama tire Akibend over ni game over Ona nasosi mpaka naitisha saucer Nakulishwa, eh (matamu ya roho) Naogeshwa, eh (oh, mamou) Ngotha mbichi navalishwa, eh Kidogo tu ninyonyeshwe, eh Dredi zangu zisokotwe Shingo nimassagiwe Nasanifiwa, narolliwa, kisha navutishwa Navutishwa, oh, navutishwa Moshi pia napuliziwa Navutishwa, oh, navutishwa Naishi kama paka, nalishwa Navutishwa, oh, navutishwa Haya mapenzi sijalipishwa Navutishwa, oh, navutishwa mama Navutishwa, oh, navutishwa mama Kuamka kung'ara na kukaa tu Kula mahaba ya kistaarabu Natabasamu bila sababu Kitandani nafunzwa adabu Kukaa kukaliwa, kulala kulaliana na kulaliwa Maisha ya ghorofa Nikitoka kitandani, naruka kwa sofa Wi-Fi imelipiwa, eh Nadekezwa, eh Upara napapaswa, eh Nabembelezwa, eh Natulizwa, eh Uso nakaliwa, eh Nasanifiwa, narolliwa kisha navutishwa Mama Navutishwa, oh, navutishwa Moshi pia napuliziwa Navutishwa, oh, navutishwa Naishi kama paka, nalishwa Navutishwa, oh, navutishwa Haya mapenzi sijalipishwa Navutishwa, oh, navutishwa mama Navutishwa, oh, navutishwa mama
Writer(s): Bien Aime Alusa, Benson Mutua Muia, Ywaya Eugine Simon, Polycarp Ochieng Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out