Songtexte

Huyo ni fala mgani anaweka ma mng'ari Kwa list juu ya ferrari yeah Ana degree au ni journalist tu juu ana list(whoop) Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi Amepotea ka zile mbegu watu walipanda na kanyari ye ye yeah Na naskia inasemekana Ati rap zangu hukam na mkazo na ile utamu ya reggae mama Ma ordinary wanankubali na hata watiaji hawaezi kana Kuna wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana Mama mama Kijana wako amepotea Ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu zake wakiendelea Mwenyezi pekee anaeza muokoa kimaisha amelegea Ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina Yeah sionangi haja ya ufisi Sina njaa najua mpishi Sijai fanya kazi ya ofisi Sijai lala ka sijadishi Sijarap kitu ka kutoka '06 ivi Trust me siezi rust mimi Ata niache mziki miaka hamsini Nikirudi bado nawacrush nyinyi Niko first mi ndani ya party Na nguo rasmi imepigwa pasi Hapo katikati napiga mic check Juu niko party na niko night shift Nilikuwa busy sikuwa najificha Clearly you rappers missed your teacher Vitu mnaandika zinachoma picha Nikiwish singewacha kuwafundisha Sauti naskia ni Don't waste your time wishing you're too proud my baby Too proud to wish they had an easy way out Let times get tough so they remember you're a blessing When life is good they will forget to say Naulizwa mbona niliacha mziki Ati nilikuwa mkali juu ya mic na namissiwa na mashabiki Niliacha game mapema hata kabla refa hajapiga firimbi Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi Samahani nimepotea Shukrani kwa wale wamenifikiria Hizo miaka zote nimekuwa missing lakini iko kitu hamjaniambia Kaa ningebaki bado ungekuwa na taki ya kuskia nikiwaimbia Ama by saa hii mngekuwa mnanifanya vile mnafanya ma pioneer Story kwa media ati nimechapa niko juu ya madawa nahangaika Show ni ule jamaa aliimba 'Ada Ada' ebu come ucurtain raisie mnaija It's not that serious rap ni hobby Bila mziki bado namanga Ingekuwa career si ningekuwa nalia kuskia ati Naija Night Nairobi Ambia new comer asijifeel sana we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda Ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio kuuenda Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu Skukaa siku mingi nikuachie nafasi ya kuchoka na mimi So now you know Shinski So now you know Beat ya Keggah So now you know
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out