Musikvideo

Sauti Sol - Extravaganza ft Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige and Kaskazini
Schau dir das Musikvideo zu {trackName} von {artistName} an

Vorgestellt in

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bensoul
Bensoul
Vocals
Nviiri The Storyteller
Nviiri The Storyteller
Vocals
Crystal Asige
Crystal Asige
Vocals
Kaskazini
Kaskazini
Vocals
Delvin Mudigi Savara
Delvin Mudigi Savara
Vocals
Willis Austin Chimano
Willis Austin Chimano
Vocals
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bensoul
Bensoul
Composer
Nviiri The Storyteller
Nviiri The Storyteller
Composer
Crystal Asige
Crystal Asige
Composer
Kaskazini
Kaskazini
Composer
Bien Aime Alusa
Bien Aime Alusa
Composer
Delvin Mudigi Savara
Delvin Mudigi Savara
Composer
Willis Austin Chimano
Willis Austin Chimano
Composer
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Composer
Benson Mutua Muai
Benson Mutua Muai
Composer
Ananias Nviiri Sande
Ananias Nviiri Sande
Composer
Christopher Kioko
Christopher Kioko
Composer
Eugine Simon Ywaya
Eugine Simon Ywaya
Composer
Israel Edgar Onyach
Israel Edgar Onyach
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sauti Sol
Sauti Sol
Producer
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Producer

Songtexte

Ayeee Rhumba imetamba Sauti Sol in addi area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Bensoul alipofika alifunika, eeeh Wakaja na madrama Sinema zetu ni telenovela, eeeh Wakasunda mizinga Hawakujua si tuko mavela, ii-eeh Wakaita polisi Kumbe polisi pia ni shabiki, eeeh Wakaficha msosi Wakatupata na dishi mezani Ayeee Rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechacha (Kila kona, yo, yo) Karibuni kwenye extravaganza Nviiri alipofika alifunika, eeeh Walifunga milango Wakatupata tuko ndani nao Wakaita makanjo Kumbe ni sisi huwalipa salo (Wo-wo-wo-wo) Wakazima mitambo Shabiki wakabaki kwenye dance floor Na iwe funzo kwao Tunaongoza wanafuata nyayo Ayeee Rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Na Crystal alipofika alifunika, eeeh Wakaja na umati Wakageuka kuwa wafuasi Wakaja na majini Wakapata tushazama kwa dini Nyele za kifarasi Lakini si ni moto ya makasi Risasi mwendo kasi Dandieni msiwachwe na basi Ayeee Rhumba imetamba Sauti Sol in addi area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Kaskazini walipofika walifunika, eeeh Wakaenda kusini Wakajipata wako kaskazini (Eeh) Wakaja na magigi Lakini si tukaja na muziki (Eeh) Wo-wo-wo, ye-ye-ye Hata wazime taa tutazidi kuparty Wo-wo-wo, ye-ye-ye Hizi vitu hazitakangi utiaji Na wakiapisha, (Tunaapisha) Na wakifunika, (Tunafunua) Eh wakianika, (Tunaanua) Na wakisafisha, (Tunachafua) Ayeee, Rhumba imetamba (Mama, yo-yo-yoo) Sauti Sol in addi area kumechacha Karibuni kwenye extravaganza Karibuni kwenye extravaganza Ayeee, Rhumba imetamba Sauti Sol in addi area kumechacha (mama yoyoyoo) Karibuni kwenye extravaganza Karibuni kwenye extravaganza Why are you looking for trouble, trouble, trouble? Hapana rusha mawe kwa police station Kabla uwashe kivela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu Why are you looking for trouble, trouble, trouble? Bibi ya wenyewe is a no-go zone Kabla ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu Why are you looking for trouble, trouble, trouble? Hapana rusha mawe kwa police station Kabla uwashe kivela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu Why are you looking for trouble, trouble, trouble? Bibi ya wenyewe is no-go zone Kabla ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu
Writer(s): Benson Mutua Muia, Ywaya Eugine Simon Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out