album cover
Ganda
56.706
Music
Ganda wurde am 20. Juli 2025 von Slide Digital als Teil des Albums Ganda - Single veröffentlicht
album cover
Beliebteste
Letzte 7 Tage
00:15 - 00:20
Ganda wurde in der vergangenen Woche am häufigsten etwa 15 sekunden nach des Songs entdeckt
00:00
00:15
00:25
00:55
01:10
01:15
01:20
02:05
02:20
02:25
02:35
00:00
03:16

Songtexte

[Verse 1]
Oya baki nayo kama unaona deal
Unajibanabana utadhani umelipia bill
Baki nayo, we si unaona deal
Hisia kwako ndio inabadilisha style
[Verse 2]
Na singelia leo wanangu hatuchezi hivi
Singelia leo wanangu hatuchezi vile
Singelia leo tunacheza singelikuganda
[Chorus]
Oya ganda
We ganduka
Tena ganda
We ganduka
[Refrain]
Waya waya waya waya waya waya
Woyo woyo woyo woyo woyo woyo
Waya waya waya waya waya waya
Woyo woyo woyo woyo woyo woyo
[Verse 3]
Nkibalia balia, kaning'ang'ania
Nimemuona asubuhi jioni ananiita dear
Eti kanizimikia ameniambia
Mi na yeye forever mpaka mwisho wa dunia
[Verse 4]
Kwanza unantaka nkikubali utaniweza
Uwacha ya kila siku la, ndani koti ya meza
Unantaka nkikubali utaniweza
Ondoa shobo tu mambo ya kudezageza
[Verse 5]
Alafu si ungelia leo, wanangu hatuchezi hivi
Singelia leo, hatuchezi mapiano
Singelia leo tunacheza singelikuganda
Oya ganda
[Verse 6]
We ganda
Ebu ganda
We gando
[Verse 7]
Twende kushoto mara tatu
Kulia mara tatu
Kushoto mara tatu
Kulia mara tatu
[Verse 8]
Mbona walilaumu Danes kwakazania makusudi
Baada ya dakika maili, we mawe umeme umerudi
We apo kati watu hoyee (Watu hoyee)
Wewe (Watu wewe)
Written by: Abdul Hamisi Mtambo, Mohamedi Rashidi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...