Μουσικό βίντεο

Περιλαμβάνεται σε

Συντελεστές

PERFORMING ARTISTS
Rapcha
Rapcha
Performer
Cosmas Paul Mfoy
Cosmas Paul Mfoy
Rap
Rashid Shabani
Rashid Shabani
Rap
Godwin Leloy
Godwin Leloy
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Cosmas Paul Mfoy
Cosmas Paul Mfoy
Songwriter
Rashid Shabani
Rashid Shabani
Songwriter
Godwin Leloy
Godwin Leloy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gachi B
Gachi B
Producer

Στίχοι

Gachi waonyeshe Last King of '90's baby (Gachi Beats) So nikamuomba one night stand Ila kudate na mambo ya kuchuna mi spendi Manzi kagida bapa dry bila glass Tukamalizane kwenye nyasi Dem wa pili nilimuona anajichetua Kizungu kingi kaona huyu wa kishua Nikamchanganyia tu ndio akajaa Ile kulewa akaanza kutapika dagaa Dem wa tatu nilimwona ametoka chicha Kanikosha mbaya nikasema hang'oki hapa amekwisha Nikampiga soundi nikamvuta ghetto Ile kutoa wig tu ana bonge la ngeu kwenye kichwa I say unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unajuaga wale wana wa kupangazia Wanakuaga na tabia flani sio za kuaminia Anasema amekata pisi hadi inachuchumia Pisi full inamlilia Kumbe hata busu hajaambulia Unaua vibe babu unaleta hisia Mapenzi ya huruma huruma yapo kwenye tamthilia Bia umelipia, msosi chumba umelipia Mpaka mchezo umelipia afu unapangiwa pa kumwagia Juzi mwanao kateka shpapi ya kuokota Mitaa flani ya kati kino apo kwa mwanamboka Pisi ikataka kulipwa povu linamtoka Mwana kachimba na shuka mara pah! likadondoka I say unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Juzi kati nilitoka sijui saa ngapi Ninachokumbuka nilimkuta kwenye party Zama room chapu chapu mi si nataka mikasi Nikaskia piga vingapi na mfukoni una shingapi? Kutana na mtoto ana nane figa Smoking hot kama amenyonga wida Samahani mum sick afu we ndo tiba Kuwaonyesha wana picha si wote walishapiga Kuna wana wana mishe za kisee Gambe anagongea analewa afu mawenge Yaani pisi kali hivi hivi tu upitishe wembe Yaani huna gari, huna pesa alafu tu akupende? I say unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Unaua vibe unaua Unaua vibe unanikata steam Ameyatinga kinoma Mwache acheze ajimwage Tinga kinoma Dj tena idondoshe Ameyatinga kinoma Mwache acheze ajimwage Tinga kinoma Dj tena idondoshe
Writer(s): Cosmas Paul, Godwin Lelowi, Justine Mhagachi, Rashid Shabani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out