Στίχοι

Oh oh oh oh oh oh B boy Mwenzako zikianza story za mapenzi Mfano wakwanza ni wewe Hadi marafiki zangu wananicheka Naukumbuka ushenzi tulofanyaga Mi nawe mwenzako mi nakuonea vibwenga Hata wakisema maneno Ni bure maana nyani halionagi kundule Wanachotaka tuachane uzurure watucheke kikowapi Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya Siwez danganya nishamaliza Kila niliempaga moyo autunze Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza We unanijali unanivumilia I wish tuzeeke wote I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho Yeah mule kuhan Unanipenda I wish tuzeeke wote I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani Siwezi peke yangu Yeah Mama ukiongeza nitajinenepea Unavyo nigombeza nakuona una care Eti hatujapendeza wanatufokea mi I don't care ndo nishakolea Kipofu nishaona mwezi vurugu vurugu siwezi Leo sinza kesho kinyerezi mara mbezi Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya Siwez danganya Nishamaliza Kila niliempaga moyo autunze Basi aliugawanya ona nilihanya Ikaniumiza We unanijali unanivumilia I wish tuzeeke wote I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho Yeah mule kuhan Unanipenda I wish tuzeeke wote I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho I wish I wish I wish I wish Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani Siwezi peke yangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out