Lyrics

Nikipoteza njia Kwa safari nimechagua Nisipokuwa na nguvu Niite niite Niongoze kwa neema Nifunze kwa upole wako Hata nikikosea Nisaidie nisaidie Natamani kutembea nawe Natamani kutembea nawe Natamani kutembea nawe Niongoze niongoze Sielewi njia hii Ndo maana nakuhitaji Nakutegemea wewe Enda nami, enda nami Nashindwa kukupa yote Hata hivyo nitaamini Kwani najua mwisho eeh Kuna raha kuna raha Natamani kutembea nawe Natamani kutembea nawe Natamani kutembea nawe Niongoze niongozee Natamani kutembea nawe Natamani kutembea nawe Natamani kutembea nawe Niongoze niongozee
Writer(s): Rebekah Dawn Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out