Lyrics

Ah ah eh Oh ow oh ow oh (StillAlive) "Hello, hello, habari yako?" "Niko poa sana mimi, na bado niko" Tunijibu "Ni poa" tukisalimiwa Na ndani wengi wetu tunaumia Picha mtandaoni, maisha bandia Kwake Mungu hakuna kimejificha Uko salama, kwake pekee yake Mikononi mwake, usinyamaze, muite Uko salama, kwake pekee yake Mikononi mwake, usinyamaze, muite Muite Baba leo (muite) Muite Baba leo (muite) Muite, usinyamaze (usinyamaze) Muite Baba leo (muite) Akupenda wewe (muite) Akusikia leo (muite) Usinyamaze, muite Ah ah ah ah ah Simama, shika we, shika neno Ita na, Yesu atasikia Mpe zote, shida zako, fikira Aibu yote, yeye atatua Uko salama, kwake pekee yake Mikononi mwake, usinyamaze, muite Uko salama, kwake pekee yake Mikononi mwake, usinyamaze, muite Muite (wachana na stress) Muite (usijinyonge wewe) Muite, usinyamaze muite (kwa shida zako we) Muite (aibu zako we) Muite (muite, we) Usinyamaze, muite Uko salama, kwake pekee yake Mikononi mwake, usinyamaze, muite Muite (itana we) Muite (Ita Yesu we) Muite, usinyamaze, muite Atatua leo (muite) Shida zako leo (muite) Muite, usinyamaze mjite Hasira zako, we (muite) Depression, shindwa (muite) Cancer ondoka! (Muite) Muite, usinyamaze, muite Familia yako (muite) Katika jina la Yesu (muite) Oh, muite, usinyamaze muite
Writer(s): Mercy Masika, Timothy Boikwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out