Music Video

Jux - Zaidi (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
Kool Savas
Kool Savas
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Jux
Songwriter
Bob Manecky
Bob Manecky
Composer

Lyrics

Its bob manecky Na na na na×4 Zinanitoka goosbamze Nikisikia jina lako Mimi naweukaa Kabisa me ni chizi wako Na kama ni mganga eee Mzuri uyo mganga wako Sio kwa kunipumbaza uku Bby mmhh Mamy ongeza ubuyu Nizidi kuumumunya eee Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eee Bby ongeza ubuyu Nizidi kuumumunya eee Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eee (mhmh) Kama ni pili pili maa (na na na na) Acha ukali niusikie (na na na na) Kama nivita mama (na na na na) Acha adui wanivamie (na na na na) Kama we ni asali maa (na na na na) Acha na nyuki wanivamie (na na na na) Lakini penzi lako bby (na na na na) Ata kidogo lisipungue (na na na na) No no nooooo Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh) Nipe nipe Zaidi zaidi (mhmhh) Wewe zaidi zaidiii Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii) Haya yaya yaaah yaaah... Haya yaya haya yaya yaaaah... Nanyosha mikoni juu Kwako me nimesarenda Naona maajabu Sungura kazidiwa ujanja Nimekuwa zuzu zuzu zuuu Nimekuwa bubu bubu buuu Nimekuwa mbumbu mbuu bby Nimekuwa zaidi ya nyumbu Sioni sisikiii... (aaah) Mamy ongeza ubuyu Nizidi kuumumunya eee Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eee Bby ongeza ubuyu Nizidi kuumumunya eeee Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eeee Mhmhmh...
Writer(s): Walter Godfrey Chilambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out