Music Video

Meja Kunta X Lava Lava - Wanga (Official Video) SMS SKIZA 8548824 to 811
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Meja Kunta
Meja Kunta
Lead Vocals
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
Banny Music
Banny Music
Performer
Abdul Juma
Abdul Juma
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdul Juma
Abdul Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Banny Music
Banny Music
Producer
Venja
Venja
Producer

Lyrics

Oooh oooh wanga wabaya Ooh oooh wabaya Ooh oooh wabaya Ooh oooh wabaya (Ngatale music) Ooooh... aah... Wabaya hao (burn music) Wanga wabaya, kweli wabaya Wanga wabaya Ukiwa nacho watakuroga wanga Ukiwa huna watakuroga wanga Ukipata pesa watazusha unadanga Wakati mwenyewe umejichanga Wanga wabaya, kweli wabaya Wanga wabaya Hata mimi yalinikuta Nikasingiziwa nimekufa Mama yangu alilia sana Oooh huruma mama Wanga wabaya hao, kweli wabaya Wanga wabaya Mbona wana mambo meusi Nikiposti picha wanacomment matusi Nikikonda tu una virusi Wana roho za kenge mixer mijusi (mscheew) Mama wabaya, kweli wabaya Wanga wabaya Labda nami nifanye kipi kizuri waja Niwe rafiki wa kila mja Iwe furaha inishinde husta Haya yapite mengine yaja Wanga wabaya hao, kweli wabaya Wanga wabaya Unamtaka kwio Una hela kwio Eti una dola kwio Nenda ukalale kwio Kwiyo yoyoiyo kwio Kwiyoyo kwema kwio Wewe acha wee Piga kelele kwa kwio wake wewe Basi container muda wa kudanga (danga) Nitafutie madanga (danga) We muda wa kudanga (danga) Nitafutie madanga (danga) Basi sina muda wa kudanga (danga) Nitafutie madanga (danga) We muda wa kudanga (danga) Nitafutie madanga (danga) Anavyokatika mi mwenzenu naona jau We bonge munene utasema kimbao mbao Anavyokatika mi mwenzenu naona jau We bonge munene utasema kimbao mbao Anakata (kimbao mbao) Anakati (kimbao mbao) Anakata (kimbao mbao) Anakati (kimbao mbao) Anakata (kimbao mbao) Anakati (kimbao mbao) Anakata (kimbao mbao) Anakati (kimbao mbao) Basi ndinda na bingwa wa kudanga hata kwako huna We bingwa wa kudanga hata kwako huna Dada unaringa una chura kumbe la kichina Unaringa una chura kumbe la kichina Na tipi tifua tetema (we tetema) We tetema (we tetema) Basi na twende tetema (we tetema), we tetema Basi kidogo tetema (we tetema), we tetema Na tifua tifua tetema (we tetema), we tetema (Meja ngoja kwanza, ngoja kwanza) Twende kuku kishingo, we kishingo Twende kuku kishingo, we kishingo Twende kuku kishingo, we kishingo Wahuni kuku kishingo, we kishingo
Writer(s): Lava Lava, Meja Kunta Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out