Music Video

MASAUTI - SOKOTE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) FOR SKIZA SMS SKIZA 7634234 TO 811
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Masauti
Masauti
Performer
Ali Mohamed Said
Ali Mohamed Said
Performer
Ali Morris
Ali Morris
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Masauti
Masauti
Songwriter
Ali Mohamed Said
Ali Mohamed Said
Songwriter
Ali Morris
Ali Morris
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Motif
Motif
Producer

Lyrics

Masauti Kenyan Boy (Motif da Don) Fanya kama unacheza, isokote(Chii) Binyuka binyuka basi, isokote Fanya kama unacheza, isokote(Chii) Binyuka binyuka basi, isokote Binyuka binyuka isokote Ukipenda Maria nikuhonge mahela mahela Nipeleke mpera mpera Maria baby whine kama Vera, Vera, Vera Nionyeshe makeke Mi nataka hio dedede Popote nikukamate Kwa ulimi nipake mate Mi nataka leo ujibambe We songa nikupakate Fanya kama unacheza, isokote(Chii) Binyuka binyuka basi, isokote Fanya kama unacheza, isokote(Chii) Binyuka binyuka basi, isokote Tingisha mingaza ukitetemeka Safisha kiwanja iyo ngoma inatesa Utaogopa huko ndani ukisema unanyesha Nipandishe mizuka niongeze mapresha Baby do me Coconut eeh(Sokote) Ikune kama nazi eeh(Sokote) Ikaze kama nati eeh(Sokote) Sokote sokote sokote sokote Baby do me Coconut eeh(Sokote) Ikune kama nazi eeh(Sokote) Ikaze kama nati eeh(Sokote) Sokote sokote sokote sokote Nionyeshe mateso, baby ready Kwa beddy ka karate, ready ready Girl girl nipate bedii bedii Baby ready ready ready ready Nionyeshe mateso, baby ready(Isokote) Kwa beddy ka karate, ready ready Girl girl nipate bedii bedii(Isokote) Baby ready ready ready ready Fanya kama unacheza, isokote(Chii) Binyuka binyuka basi, isokote Fanya kama unacheza, isokote(Chii) Binyuka binyuka basi, isokote Isokote, isokote, isokote, isokote
Writer(s): Mohammed Ali Said Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out