Lyrics

Mmh aah weka utamu lady Kabla hakujakucha my lady Mmmh aah nahisi nadedi Ukisimama kwa ukucha my lady Aah nahisi joto sio joto baridi sio baridi Mmh nakuwa katoto katoto we unavyonifariji Hizo bingiri bingiri mpaka chini Nakupa pingili bafuni kabatini Baby lako timwili timbwili la kijini Mmmh aah aaah We ndo unikosha We ndo unanikosha (aah aah umenikaa) We ndo unanikosha (mmh aah unanikaa) We ndo unanikosha Baby nipe tena kimoko Kisheti ninywe na chai Wa kusela kusema wanoko Nipetii niwe nishai Bila wewe lazizi nahisi ningehenyeka sana Nataka nikutoe baby Copa Cabana Ila wewe lazizi unajuaga kueneka bana Nataka nikutoe baby mmh Hizo bingiri bingiri mpaka chini Nakupa pingili bafuni kabatini Beiby lako timwili timbwili la kijini Mmmh aah aaah We ndo unikosha We ndo unanikosha (aah aah umenikaa) We ndo unanikosha (mmh aah unanikaa) We ndo unanikosha Aah niko nyuma naiokota Dondosha mmh aah dondosha Ukizima naikokota Dondosha mmh aah dondosha Fanya kama kuisokota Dondosha aah aah dondosha Mbona kama inatokota Dondosha, dondosha
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out