Music Video

Sina Makosa(Official Video) by Wyre
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kevin Waire
Kevin Waire
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Kevin Waire
Kevin Waire
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wyre
Wyre
Producer

Lyrics

Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Yule si wako Nami si wangu Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Kwako hayuko Kwangu hayuko Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Hasira za nini wee bwana Hasira za nini wee bwana Wataka kuniua bure baba Wataka kuniua bure baba Wewe una wako nyumbani Nami nina wangu nyumbani Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Chuki ya nini kati yangu Mimi na wewe Nasema sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana Sina makosa wee bwana
Writer(s): Mohamed Ferdinand Komba, William Kisabe Kadima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out