Lyrics

Yeah, we're recording? Sawa, cue me, twende tena Ah, yeah, oh Hii ngoma ni ya wale watu wanapenda kwenda maclub huku kenya Na wale watu wanaingianga club wanatoka asubuhi na mapema Na wale watu wanapenda kupewa Ata ka shindano dunga kwa mkono bora ufike kwa hewa Ha, another Homeboyz Produc-shizzle, yeah Wajua nimeshindwa kusema jina yangu Nonini? Wajua nimeshindwa kusema jina yangu Nonini? Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini? Keroro, keroro, keroro, keroro Niko gauge jo, niko maji jo Niko keroro Hakuna kitu naona kwa hii club ispokuwa beer yangu na watoto Kwanza kwa counter kuna moja ananipiga usoro Namyemelea huku nikist-sta-stagger Ananiangalia vibaya lakini mi najua ywanitaka "Mko wawili ama naona vitu zangu?" "Nta acha kuenda kwa mama pima kukunywa ng'ang'o" Wanukia poa kwani umejipaka nini? Mmh, na nahope pia umejipaka huko chini Asubuhi ikifika, jo, hii club mi sitoki Bila we' nimekukunja, jo, ndani ya hii koti Ebu kwanza simama nikague hizo vitu Nikiona zimesimama lazima, jo, nitakutibu Eh, na zimesimama, lakini nikuulize swali Umevaa chupi ngapi, jo, hapo ndani? Usiniongeleshe kingoso, jo, kwani we' ni mlami? Leo nimebeba CD zangu, ah-ah sidhani Trust yangu haiko na bado waeza sema nami Sina Trust na bado waeza sema nami Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Amniotic fluid ndio hukuanga ndani ya tumbo ya mamatha Lakini mi husema kitu moja jo I'd rather ingekuwa ni keroro iko huko ndani ya tumbo Na nikisha waka huko ndani, matha anapiga makumbo Leo nataka kuona kila mtu kwa club amewaka Vuta blunt combine na tembe jo, mpaka Utemebee na magoti ka kobe, hakuna haraka Ah, jamaa, skizeni, skizeni Na mpango, na mpango ya jet fluid, kuna row? Kuna row? (Iko, iko) Sawa, sawa, sawa Alafu tunaidilute na chupa moja ya miti ni dawa Make sure trou' kwa magoti umeifunga na kamba, kaza Baada ya kupewa kuwa ready kuharwa Na ka we ni manzi kuwa ready ku- (si unisare) Kuwa ready kurushwa ma-Timb boots ka umezing'ara Steam haimatter, kupewa, kichuri au kuchana Si tumezoea kuingia bar saa tatu usiku na wasichana Na tunatoka siku ya pili, saa saba mchana "Jamaa naskia kutapika Kwanza, kwanza huyo mjamaa ntampiga Ngoja, ngoja kwanza phone yangu iko wapi? Phone iko wapi?" Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Nikiamka asubuhi kila siku ni mkate na beer Nikiwa mgonjwa drip water bado ni beer Saa sita nimeingia home wife hajatuna ametulia Nikatoa nguo zangu mdogo, mdogo, nikampandilia Vile anamorale jo, anajua leo lazima atalia Nikampandilia lakini vile nilikuwa gauge nikasinzia Ndio maana bibi zetu jo, sikuizi wanazusha Sababu ya kuwaka daily jo, wamesindwa kuwachangamsha Hatuangali maslahi ya jamii Lakini daily ntakuwa keroro, kwani? Dunia nzima hakuna beer ka ya Nairobi Na ka unafikiria nakudanganya kaulize Robert Warobi Niko gauge, niko maji Mpaka nauliza Musyoka hii verse itaenda aje "Musyoka hii verse itaisha aje?" "Musyoka hii verse itaisha aje?" Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro Niko gauge (niko gauge), niko maji (niko maji) Niko keroro
Writer(s): Hubert Nakitare Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out