Music Video

Harmonize X Q Chilla - My Boo Remix (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
Bonga
Bonga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
East African Hits
East African Hits
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bonga
Bonga
Producer

Lyrics

Aah tunaanza upya sasa Just beginning Chilli, Konde Boy Yaani Chilla na Konde Boy Aaah, Mola anakupa astahili Hakupi unachotaka Ndio maana nimetulia Nakukabidhi mtima Naridhi kifungu mbili Kukosa nakupata We unanivumilia Ata nikiwa sina Ninajua wapo Walosema hunifai Eti hatuendani Wanajichosha na kujipa taabu Oooh wapo walosema Umetoka na maasai Tena hadharani wakapotosha Umedu na mwarabu Ila mi ndo nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Sing'oki kisiki Oooh nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Aki sing'oki kisiki, msijipe taabu My boo, my boo, my boo Oooh lala lalala my boo My boo, my boo, my boo Oooh lala lala my boo Hawapendi kuniona na wewe Eti nimekaa nimechill na wewe Wanatamani niwe nimekwisha Ooh lalalala wakuchukue kabisa(Eeeh) (Hahaha, Love is sweet oh) Ah! Nyie mafundi wa kuchamba Mnafanya kazi ya kanisa Ridhiki haivutwi kwa kamba Na wa kumi hapatagi tisa Mwenzenu fundi wa kulamba Tena anameza kabisa Sio kama najigamba Ila mbali ninamfikisha eeh Ndio maana Ananiganda ganda kama pochi Ananiganda(Ndio maana) Nampanda panda kama kochi Nampanda Mi najua wapo Walosema we hunifai Eti hatuendani Wanajichosha na kujipa taabu Oooh wapo walosema Umetoka na maasai Tena hadharani wakapotosha Umedu na mwarabu Ila mi ndo nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Sing'oki kisiki Oooh nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Aki sing'oki kisiki, msijipe taabu My boo, my boo, my boo Oooh lalalalala my boo My boo, my boo, my boo Oooh lalalalala my boo Hawapendi kuniona na wewe Eti nimekaa nimechill na wewe Wanatamani niwe nimekwisha Ooh lalalala wakuchukue kabisa(Eeeh) Zuzuzu, zunguka waone Zuzuzu, zunguka waone Yii, asa zungusha body Zuzuzu, zunguka waone Kwani unadaiwa kodi? Zuzuzu, zunguka waone Oooh lele, Konde Boy Ananiganda ganda kama pochi Ananiganda(Ndio maana) Nampanda panda kama kochi Nampanda Ooh my God its Spencer
Writer(s): Carlton Mahone, Rodney Terry Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out