Lyrics

Big boy Mmmmh mmhh Anakasura ka upolee Miaka nenda rudi hazeeki Tena ni mtu wa Gym Gym Shepu ndo linanipa wazimu zimu Na tattoo nimchoree Ila ndo hivo tena hapendekiii Amakweli mapenzi hayana mwalimu Wengine hata kuniona ni adimu Hivi tuseme anangekewa Ama nyota yake kali ananizidi Ama mjini nimechelewa Mbona wengine wanamponda wanamwita bibi Nilianza kumuona mapema Enzi za mabanda ya sinema Alikuaga ni rafiki na wema she's so beauu Acha wanione mshamba tuu Tuta huwezi kulipigia hona Umri nao ni namba tuu Kinacho niuma anajifanya Haoni Kama unamjua (mtajee) Nani anemjua (mtajee) Kama unamjua (mtaje) Avimbe kichwa ajisifie Basi kama unamjua (mtaje) Kama unamjua (mtajee) Kama unamjua (mtaje) Avimbe kichwa ajisifie (mmh mmh mmh) Mmh! Anaelenga kwa rula Sikuzote ndo apataye Mwambieni mwanangu paula Minampenda mamae Tena ni fundi wa kuchanua aah Utasema samaki Ng'onda Hapo ndo nikagundua ah Nini kiliwaliza makonda Wa dala dala dala Mi nashindwa kulala lala lala Hana mbadala dala dala Anaitwa ka ka eeeh Hakika ye ndo kiboko yangu Jua likiwaka ikinyeshaaaa Utembo na ujeshi wangu Getini kwake nilikesha Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzu Sawa unywe pombe na useme una Udhu Na mtu ukishapenda unakua Zuzu Eti nawaza aje kua mama zuzu Kama unamjua (mtaje) Kama unamjua (mtaje) Kama unamju (mtaje) Mmh! Avimbe kichwa ajisifie Eeeh, big boy na migoo wanamjua Cha upole anamjua Anko Duke Naye anamjua Sara boy na tembo wanamjua Elizakiel wamipango anamjua Kigipopa mzambele wanamjua Eeh eeh eeh (mixed by sonic)
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out