Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kusah
Kusah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter

Lyrics

Jamani Huba limekolea moto lanichoma vibaya Nataka muda niliwazue vyema nisifike pabaya Naganda ruba kanikwatua moyo kanishika pabaya Na Nina muda sijawahi ona penzi kama lake Ananifanya kama mtoto yani binua binua mpaka kwenye ndoto Anang'ataga na mito wallah Mimi wake sinyorito Uuuh yeeeh aaaah aaah Limekolea moto Limekolea moto Limekolea moto Mapenzi si kitoto Mapenzi si kitoto Mapenzi si kitoto Usije basi ukaniacha solo mapenzi nayajua Mwenzio mimi wataniona kolo Watanisema nitaumia Usije basi ukaniacha solo presha itasumbua mamaa(uyeeeh aah) Mwenzio mimi wataniona kolo(iyeee iyeee) Labda kuna ndumba aah sio bure au unanikoroga Moyo unanidunda dunda aah sio bure au unanikoroga Nawaza labda sijiwezi (labda) Au labda ni mapenzi (labda) Nawaza labda ni kizizi (labda) Au labda umeniganda (labda) Ananifanya kama mtoto yani binua binua mpaka kwenye ndoto Anang'ataga na mito wallah Mimi wake sinyorito Uuuh yeeeh aaaah aaah Limekolea moto Limekolea moto Limekolea moto Mapenzi si kitoto Mapenzi si kitoto Mapenzi si kitoto Usije basi ukaniacha solo mapenzi nayajua Mwenzio mimi wataniona kolo Watanisema nitaumia Usije basi ukaniacha solo presha itasumbua mamaa(uyeeeh aah) Mwenzio mimi wataniona kolo(iyeee iyeee) Siri ya penzi ni kushikana Mimi na wewe baby kupendana Tukikosea kusameheana Kwenye makosa kuambilizana baby (iyeee) Tusilivunje penzi upepo ukazoa likaenda na tsunami (Iyeeee iyeeee iyeeee iyeee) Usije basi ukaniacha solo Mwenzio mimi wataniona kolo Usije basi ukaniacha solo Mwenzio mimi wataniona kolo
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out