Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fathermoh
Fathermoh
Performer
Joefes
Joefes
Performer
Dj Katta
Dj Katta
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Nyamweya
Joseph Nyamweya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Marvine Abwao
Marvine Abwao
Producer

Lyrics

Shika toto kum kum bagia Kanadai mimba taka chum kum ndani ya Kutu bila ikus ukunshuku scania Shika Shiko kanadai kunbus kania Balaa balaa balaa Shaghala bhaghala kuteka maid (Balaa) Angalia haga hystorical (Balaa) Haga bilhazia (Aruziii) Balaa Balaa balaa balaa Shaghala bhaghala kuteka maid (Balaa) Angalia haga hystorical (Balaa) Haga bilhazia (Aruziii) Balaa Fathermoh Digi gidi mah jiji jini mah Ka uniitanga daddy didi mah Pigwa busu mwaah Kako njei pewa jacko mah Ka na vijana, sura balaa Imetokomaa imechoka mah Basi pewa tu kwa kijwalaa Na ina kijwalaa, nadai kuzamisha kibidhaa Nadai kuzamisha kibidhaa gandisha Hera, waria pandisha ing'am Mbuzi Gang ipaa Maria chachisha ukoo fyatu na noko ukoo Balaa balaa balaa Shaghala bhaghala kuteka maid (Balaa) Angalia haga hystorical (Balaa) Haga bilhazia (Aruziii) Balaa Balaa balaa balaa Shaghala bhaghala kuteka maid (Balaa) Angalia haga hystorical (Balaa) Haga bilhazia (Aruziii) Balaa Joefes Hii ni vibe inafanya mfanye gugugaga Me ni doom ikikuja kwa dudu dada Kutu kata, Balaa kuku kadhaa Ikus kazaa, ka ni ya mbogi gaza Usingizi ka ni ya pono laza Lamba lolo, alaah lolo lala Niko macho haga nazi lola Nata hora horror na Rita Ora Nitang'ora kisha imba chorus Waiter leta mbuzi beef imefura Wanagura pombe pewa hadi kura Waiguru scandal haidhuru Shika toto kum kum bagia Kanadai mimba taka chum kum ndani ya Kutu bila ikus ukunshuku scania Shika Shiko kanadai kunbus kania Balaa balaa balaa Shaghala bhaghala kuteka maid (Balaa) Angalia haga hystorical (Balaa) Haga bilhazia (Aruziii) Balaa Balaa balaa balaa Shaghala bhaghala kuteka maid (Balaa) Angalia haga hystorical (Balaa) Haga bilhazia (Aruziii) Balaa Dj Kata Kata na me ni balaa Ukileta ufala hapa utalala Na me sichapi vitu ka hazijabalaa So ukiwa umelala natokea kichini gwala Kabla sijadishi lazima niseme swala Watoto wanabubble walai hii ni trouble Try to be worried Atwoli alaah Kitu inanuka ua ya ukambani malaa Juu umelia mimi mimi balaa Ukileta ufala hapa utalala Na me sichapi vitu kama hazijabalaa So ukiwa umelala natokea kichini gwalaa
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out