Lyrics

(Here is another one Touch, Touch) Bomba bomba eeh, Bomba Ah jicho kokodo ukinikodolea Huo mkonyezo mwenzake najilegea Chuzi la sotojo limenikolea Mi mbwa mbele ya chatu Hata linasogelea Tupendane tuwe kati ya makumbusho Karne zijazo watusome Mi wake wa future ye wangu wa ndoto Kimaso maso wasituone Hata akifumania poa tu (Poa tu) Aseme ninamwenda fia poa tu (Poa tu) Mi nang'ang'ania poa tu (Poa tu) Ndo nishajifia poa tu (Poa tu) Chuma kwa chuma namwaga cheche (Poa tu) Mwenzenu napewa weka tuweke (Poa tu) Nikimuona napanda kidete (Poa tu) Uwo uwo uwo (Poa tu) Natamani katongoze mara ya pili Hapo vipi (Bomba bomba hio) Anitilie nipate kurudi akili Hapo vipi (Bomba bomba hio) Hapo vipi (Bomba bomba hio) Ipo vipi (Bomba bomba hio) Ee bwana vipi (Bomba bomba hio) Ipo vipi (Bomba bomba hio) Sherrie baby na masherie oh Anipa kazi moto mwenye kazi oh Ndani joto sitaki feni oh Aninogesha na vyake vilio Mapenzi hayana nunda Uchebe kawai gunja Penzi pepo la kibunga Likichanganywa na numba Hata akifumania poa tu (Poa tu) Aseme ninamwenda fia poa tu (Poa tu) Mi nang'ang'ania poa tu (Poa tu) Ndo nishajifia poa tu (Poa tu) Chuma kwa chuma namwaga cheche (Poa tu) Mwenzenu napewa weka tuweke (Poa tu) Nikimuona napanda kidete (Poa tu) Uwo uwo uwo (Poa tu) Natamani katongoze mara ya pili Hapo vipi (Bomba bomba hio) Anitilie nipate kurudi akili Hapo vipi (Bomba bomba hio) Eeh hapo vipi (Bomba bomba hio) Ipo vipi (Bomba bomba hio) Ee bwana vipi (Bomba bomba hio) Ipo vipi (Bomba bomba hio)
Writer(s): Ismail Mandoti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out