Lyrics

Saldido, ayayaya Am so drunk hunnie Ayayaya am so drunk hunnie Mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love In love, am drunk in love (Nimelewa) In love, am drunk in love (Nimelewa) Aah katoto kasupu ka Nakuru Katoto ka Duchu kana nuru Katoto ka Kenya kwa Uhuru Nisiseme mengi nitakufuru Naweweseka kinoma, kinoma nasema kinoma Palipochanika amepashona Tilalila, nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love In love, am drunk in love (Nimelewa) In love, am drunk in love (Nimelewa) Ah kwani umeweka busu gani kwa mapenzi mama Unashepu nzuri tena wanikata maini Sikuwahi jua, kuna mapenzi ya kweli mama Till nikakupata yeah yeah yea Oh I thank the Father Tilalila, nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love In love, am drunk in love In love, am drunk in love Sikuwahi jua Ipo siku ningemuona malaika kwa macho Until nikakuona baby Mara moja ukanilewesha Hako katouch kako gentle Ka smile kako simple Tilalila, nimelewe Oooh nimelewa Baby mi nimelewa Oooh nimelewa Baby mi nimelewa Oooii maya, oooiii iii maya Oooii maya, oooiii iii maya Owouwo maya, oooiii iii maya
Writer(s): Wilson Abubakar Radido Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out