Lyrics

Sauti yako kama ringtone Nikilala kwa masikia Bado inanijia aah Bado naisikia aah Kama macho we ndo zangu mboni Hata nisipafumba wengine sioni Bado unanijia aah, uninijia aah Kwenye baridi unikumbate eeh Dimbwi la mapenzi tuwe wote eeh Upweke mwenzako nahofia Nipeti nipate tulia Ninavyokupenda usichoke eeh Kama basi kufa tufe wote eeh Nzi kidondani nafia, nipeti nipate tulia Aaah kwako nime fall in love I'm fall in love aye ye ye ye Aaah nime fall in love I'm fall in love Ooh mi na wewe Aaah iwe kiangazi ama kwa masika Uniahidi baby tutafika Ooh mimi na wewe Ooh mimi na wewe Iwe raha ama patashika Kwenye mabonde na kadharika Ooh mimi na wewe Ooh mimi na wewe Aaah kama umeroga basi ongeza tena Nipagawe mazima ooh mazima Mmh ninavyokupenda usinichoke eeh Kama basi kufa tufe wote eeh Nzi kidondani nafia, nipeti nipete tulia Aaah kwako nime fall in love I'm fall in love aye ye ye ye Aaah nime fall in love I'm fall in love Aaah kwako nime fall in love I'm fall in love aye ye ye ye Kwako nime fall in love I'm fall in love aye ye ye ye
Writer(s): Suleyman Salim Gao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out