Lyrics

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu Bwana ana u-uwezo kunipa wokovu Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu Bwana ana u-uwezo kunipa wokovu Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso Viumbe vina Naona damu ina nguvu Imeharibu uovu Uliyotudhuru Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso Nipe wema ya ajabu Kubwa kwa wanadamu Na Bwana Yesu Kumjua Yesu wa msalaba Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa umbo Na msifu bwana Kwa hiyo nimepata utakaso
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out